Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Pale shrine saint joseph amewekewa kiti chake. Ni maumivu yaliyomzeesha na kumchosha katika miaka ya karibuni.Yale maumivu ya mgongo itakuwa yamemchosha sana
Pale shrine saint joseph amewekewa kiti chake. Ni maumivu yaliyomzeesha na kumchosha katika miaka ya karibuni.Yale maumivu ya mgongo itakuwa yamemchosha sana
Mama Janeth huwa ana tabasamu murua muda wote akikutana na mtu yeyote.Leo angalau mama janeth ameonekana anatabasamu murua kabisa
Kwa sasa ana miaka nadhani 72
Nikikumbuka ..... bank, nahifadhi maombi yangu.Tumuuombee Baba Kardinali Polycarp Pengo. Bado hajawa fiti kabisa. ukicheki picha zake nyingi hapo utagundua. Sina maana mbaya. Si mkuu anatuhimiza tumuuombee.
Hats kagera naamini ataenda ingawa ameshachelewaMUNGU atawaongoza vema
Kwa maana hiyo akimtembelea tu jamaa anayeumwa anaR.I.P?Nakubuka pia walimtembelea Hayati Samwel Sitta siku chache kabla haja RIP... Wana moyo mwema wa kuwatakia heri Wananchi..
Vip kwemye itinerary yake ya kuwatembelea waliokatika wakati mgumu, ana ratiba ya kwenda kumwona Mh.Lema kizuizini kama sivyo ni mbinafsiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wamemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo ili kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake.
Rais na Mkewe wamekutana na Muadhama Kardinali Polycarp Pengo katika makazi yake Kurasini jijini Dar es Salaam.
![]()
![]()
![]()
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
Yeah,Tumuuombee Baba Kardinali Polycarp Pengo. Bado hajawa fiti kabisa. ukicheki picha zake nyingi hapo utagundua. Sina maana mbaya. Si mkuu anatuhimiza tumuuombee.
Nakubuka pia walimtembelea Hayati Samwel Sitta siku chache kabla haja RIP... Wana moyo mwema wa kuwatakia heri Wananchi..
Huko ni kuungama kwanza, baraka baadayeHapo sasa ndiyo aombe kuombewa, kutuomba sisi tumuombee sio sahihi
Sasa mama inabidi abadirike hizi mambo za kwenda Nigeria kwa TB Joshua wakati na hapa kuna watumishi wa Mungu sio vizuri kabisa..
Safi Mh. Jembe letu la UKWELI na hakika mama Magufuli ana maadili ya kiafrika haswa tofauti sana na mama wa hawamu ya jana kwani mpaka leo ana zaidi ya mwaka Ikulu ila sizani kama ameonekana kwenye vyombo vya habari na barabarani zaidi ya mara10 tofauti kabisaa na mama wa mwaka jana,,ukiangalia huyu,,ukiingia mtaani huyu hapa,,full show off!!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wamemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo ili kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake.
Rais na Mkewe wamekutana na Muadhama Kardinali Polycarp Pengo katika makazi yake Kurasini jijini Dar es Salaam.
![]()
![]()
![]()
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.