Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo

Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo

Pongezi kwa Rais Magufuli na Mama yetu J.Magufuli kwa kuona umuhimu wa kwenda kuhani msiba.
 
Ni jambo la Baraka sana kumtembelea Kardinali!
 
Mama Janeth always ana tabasamu ila wewe mtanzania ndiyo umejenga dhana negative ktk akili yako.

Mtanzania mtendee wema atakusema mtendee ubaya atakusema tu,mtanzania hana jema.

Mungu atusaidaie ktk hilo tubadilike.

Red tuite Red na white tuite white.
 
Kama ni kweli zile tuhuma za Mbowe jana kuwa kuna watu zaidi ya 180 wanateswa kwa kumsema vibaya mtukufu, basi Kadinali ahakikishe mtukufu hatoki hapo bila kuungama
 
Mwenyezi mungu awape moyo huo huo wa upendo
Ni kweli kwani hata huyo mungu uliyemtaja siyo Mungu ndio maana upendo wake ni tofauti na Mungu tumjuaye. Huyo mungu ndiye apendaye watu waishi kama mashetani. Ila Mungu anapenda watu wake waishi kwa raha kama malaika
 
Tabasamu LA mama mbele ya baba kardinali Leo lilikuwa muhimu sana kwani ndiyo busara ya ndoa mbele ya mgeni au kiongozi si vyema kuonesha uso wa yanayoendelea chumbani kama wengi tunavyofikiri japo Mimi naamini mama ametabasamu kwa sbb kuu mbili, mosi anajiskia vizuri baada ya kupona maradhi yaliyompelekea kulazwa, pili kwa vile anampenda Mungu, analipenda kanisa lake na viongozi wake wa kiroho na hivi kukutana na mwadhama ni sehemu take ya kujiskia nyumbani na mahala pa faraja ##hongera baba na mama magufuli, pole kwa Msiba na ugonjwa baba kardinali#dada ako mpendwa apate Huruma ya Mungu, apumzike kwa amani, amina.
 
Hii safari naona ni kati ya safari zenye furaha kubwa kwa Mkuu wa nchi akiwa na First Lady .Nyuso za furaha zinaoneka na wamependeza sana.Pongezi za pekee zimwendee Mama yetu mpendwa Mama Janeth Magufuli kwa kweli Mama yetu amependeza sana kwenye hili gauni lefu lenye mpangilio mzuri wa langu na mshono wa kipekee. Ongera sana Mkuu kwa kumpendezesha Mama.Nawatakia heri ya Xmas na mwaka mpya 2017.

Article.
 
Back
Top Bottom