Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!

Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!

Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
Hivi ndugu yangu, huwa ukishaandika na kurudia kusoma unaamini kabisa ulichoandika?
Kama unaamini basi liko tatizo mahali, lakini kama unaandika kwa kutimiza wajibu basi yote kheri tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori za hapa na pale: hata ile "Bure" sijui Bila Malipo eti inapumulia mashine
 
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.
Mkuu meanza kupoteza focus. Mi mbon huwa nakuelewa leo umenzaje kunichanganya hivi/
Matajiri ndio wakopaji wakubwa. Deni la USA ni kubwa mno, wakati huohuo wanatoa misaada.

Acha tujenge uchumi .. Hela inayopatikana kwa sasa ijenge miundo mbinu.
 
Anayebeza uwiano wa makusanyo ya kodi na shughuli za maendeleo na uwekezaji na gharama za uendeshaji wa serikali na taasisi zake na kulipa madeni ya nyuma yaliyokopwa na awamu zilizopita, n.k., n.k. huyo ni kibaraka wa mabeberu
Tatizo sio kuwa vibaraka wa mabeberu ni uelewa mdogo wa mambo. Suala dogo tu hata mtoto anajua, kuna magari ya serikali yanakula mafuta, mishahara, kuna ndege za jeshi na polisi zinakula mafuta. Mtu hajui kuwa serikali inajitahidi haya yakae sawa.
Alfu kukopa hata nchi kubwa kama China huwa zinakopa .Alafu Tanzania ni mwanachama wa WB na anavyo vigezo vyote vya kukopa kupitia (IDA) international development Association ya world bank.
 
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!

Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!

Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji/soko na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
Umejibu vema, kuna ulazima kukopa kwa ajili ya mambo basic ya nchi.

Ni sawa ukakope ili uweze kununua chakula.

Kwa makusanyo tuliyonayo tunajitosheleza kufanya mambo mhm kama elimu. Tukope kwa ajili ya uwekezaji unaongeza kipato huku wasomi tuliowaandaa wakizitumia hizo fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILISHA SEMA NA NINARUDIA KUSEMA ELIMU BURE NI KIZUNGU MKUTI , TANZANIA HAIJAFIKIA LEVEL YA KUTOA ELIMU BURE!! NI KITU KISICHO WEZELANA.
 
Takwimu za awamu hii zina walakini, lakini pia JPM kaamua kuibebesha nchi zigo la miradi mikubwa (baadhi isiyo na tija) nchi, mbaya zaidi tunalipa makampuni ya nje kutekeleza miradi hiyo, hivyo basi matumizi ya serikali ni makubwa na pesa yote inakwenda nje, sie tunabaki na midege imepaki uwanjani.
Hofu yangu ni pale Raisi atakapomaliza kipindi chake, miradi hii mingi italiwa na wajanja hasa haohao vijana anaowasifia leo. Cheki kina Kangi wanapiga peupe angali yupo!! Ya Mwl Nyerere na kufa viwanda yatajirudia . Tukubali tuimarishe Katiba.
 
NILISHA SEMA NA NINARUDIA KUSEMA ELIMU BURE NI KIZUNGU MKUTI , TANZANIA HAIJAFIKIA LEVEL YA KUTOA ELIMU BURE!! NI KITU KISICHO WEZELANA.
Wananchi wake walio wengi nao ni masikini hawawezi kusomesha watoto mpaka vyuo vikuu hivyo wajinga lazima wawe wengi tu.
 
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!

Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!

Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji/soko na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
Hizi hadithi zako zimeanza awamu hii. Jiwe kavuruga maisha ya watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu ukiwaomba mkopo wa Afya, elimu na maji hawawezi kukunyima. Na ndio hapo sirikali inapocheza nao. Wananunuwa ndege kwa cash ambapo wqzungu wasingewapa mkopo kwa transaction hiyo na wanakopa kwenye elimu wakiwa na guarantee ya kupata riba ndogo ama kusamehewa deni liki default. It's a tricky game.
 
Mimi nadhani inabidi tuwe serious katika mambo ya msingi hakuna kitu bure kikadumu na kikidumu basi ujuwe hakina ubora siasa ziwekwe pembeni elimu ni lazima ichangiwe watu wanachanga maharusi huko kila leo ni lazima serikali ijitoe katika hili inaweza kutoa kiasi ila wazazi pia ni wajibu kuchangia. Elimu ni gharama sana sasa tusitumie matamshi ili tu iwe silaha ya kufanyia kampeni lakini uhalisia bado sio uwezo wetu na kuthibitisha hayo shule za serikali bado zinaburuza hawako hata katika top shule sasa tujipime kabla ya kutangaza elimu bure tulikuwa hapa na miaka 4 ya kuchangia tuko hapa kama hakuna vipimo basi kuna shida kubwa katika matumizi yetu ya pesa.
 
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.
Namba hazidanganyi kaka, unakusanya 1.3trilion kwa mwezi unalilia 1.3trilion kwa mwaka.

Hahhaaaa wonders never end!
 
Wazungu ukiwaomba mkopo wa Afya, elimu na maji hawawezi kukunyima. Na ndio hapo sirikali inapocheza nao. Wananunuwa ndege kwa cash ambapo wqzungu wasingewapa mkopo kwa transaction hiyo na wanakopa kwenye elimu wakiwa na guarantee ya kupata riba ndogo ama kusamehewa deni liki default. It's a tricky game.
Wazungu hawana shida ukitaka chukua ukitaka acha uone nani anaumia.
 
Kaziya serikali ni kutengeneza mazingira nauchumi mzuri ili kuchochea ajira katika sekta binafsi na umma. Hilo bichwa lako usifugie nywele tu fikiria.
Duh!
Unauliza halafu unajijibu mwenyewe!

Soko la ajira liko kwenye kichwa cha mtu aliyesomeshwa na sio kumtegemea mtu mwingine akupe ajira!

Elimu uliyopewa kwa maana nyingine ni uwekezaji/soko na kinachotakiwa ni kuufanya huo uwekezaji uwe na tija!
 
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.
siyo kwamba imeshindwa kukusanya na kupata pesa hizi, mambo ni mengi na tunaishi kwa priorities yote yanaweza kuwa ni matatizo na changamoto tunaangalia nini kianze
 
Back
Top Bottom