Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.

POINT YAKO NI YA KWELI AKSEH, SANAA TUPU NDIO MAANA UCHUMI WETU UNAKUFA IVI IVI TUKIONA.
 
Hana hata aibu anaomba kibabe na jeuri.
Akinyimwa misaada na mikopo, anatafuta mchawi nani.. eboh..!
 
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?

Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.

Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?

Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?

kwanini wasijisomeshe kwa pesa ya kodi yao?

Au iyo pesa ukusanyi ni figure tu? kopa tujenge viwanda tuwekeze kwe technology tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa ambacho output yake haitapita hata miaka 5 tutakuwa umeshaiona.
Mie nilidhani elimu ni muhimu zaidi ya hivyo vyote ulivyo vitaja kwa sababu ndo inatoa skilled labor ya kuendesha mambo yote katika nchi,the only challenge ni quality ya elimu inayotolewa ila kukopa na kuwekeza kwenye elimu bora is an excellent idea
 
IMF walishatanabahisha kwamba "data za kiuchumi za Tanzania no za kupika"

Walipika data kwamba uchumi wetu unakuwa kwa 7.2% ilhali unakuwa kwa 5.9% (kwa mujibu was IMF)

Meko anafanya siasa kwenye kila jambo, liwe ama lisiwe la kimaendeleo.

Hizo taarifa za kukusanya kodi zaidi ya 1trilion kwa mwezi nazo ni za kupika tu. Na ndio maana wanaomboleza kwa ajili ya $ 500 za WB zilizoyeyuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom