Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Kwani mtu kua kabila flani ni lazma ujue lugha yake ya kikabila....aisee mfano baba na mama ni wahehe lkn tunaishi Bukoba kwa Wahaya na lugha kuu ni kihaya sasa kwakua naongea kihaya vizuri kuliko kihehe basi mimi sio mhehe. ..Stretch your mind mkuuNafikiri hata Magufuli ni afadhali at least anazungumuza moja ya lugha.
SWALI
Ni watanzania wangapi wanaoweza kuongea lugha zao kifasaha pasipo KUCHANGANYA na KISWAHILI?