Hahah kwa hiyo mh.Rais ana asili ya ukoo wa kifalme sio?Duuh nilikuwa nawaza kwanini tunashabihiana kwa vingi kumbe tuna share some roots...Haya wee wayango ni ukoo wa kifalme...
Vikipita vizazi vinne tu makabila yatabaki hadithi na makumbusho.Kila mtanzania ana asili yake, Africa huwezi kufuta ethnicity! This is there to stay! Labda kikabila kama cha kwako, lakini usidhani kuna mwaka kabila la wachaga, wanyakyusa, wahaya , wasukuma etc yatatowek na lugha kupotea.
Magufuli ni Mzilankende! Huyu ni muhaya pure! Mushaija huyu!
Mbwa mzee hafundishiki.Magufuli ni mtanzania. Najua jambo linalowakera wengi ni HASIRA nk. Na hiyo ndo ni lazima TUMWOMBEE abadilike. AKIWA na UPOLE atafanikiwa sana.
Hapo hakuna mjadala.
Usijitoe akili wewe eboooMi ninachojua ni Mtanganyika.
Teh teh.......Usijitoe akili wewe ebooo
Long time no see...u have made my day!!!!!
Mkuu japokuwa nimekuelewa,Mbwa mzee hafundishiki.
Samaki mkunje angali...
Awe nini, sisi haituhusu, si tunajua ni Mtanzania....
Subiri waje....kwa faida ya wengi tupate kujua historia yake niko interested na mental case kwenye ukoo!!!! Kuna kitu hapo!
Hicho Kizinza hata hakijui na mara zote tangu wakati wa Kikwete na kipindi chote cha kampeni alipofika kwenye vijini vya Wazinza wilaya ya Sengerema alikuwa anaongea Kisukuma. Ukweli ni kuwa Magufuli ni Msukuma.Ni Mzinza
Wewe unataka kabila lake ili iweje wakati yeye ashakwambia ni msukuma na watani zake ni wahehe na wamakonde mbona unataka kumulazimisha awe muhaya wakati si kabila lake hata kama akiwa mhaya wewe utapaata faida gan mkuu
Hata majita Bayango wapoBayango wapo na ukerewe
Mental case ya mgombea mtunguo iko je?Subiri waje....kwa faida ya wengi tupate kujua historia yake niko interested na mental case kwenye ukoo!!!! Kuna kitu hapo!