Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Magufuli siyo Mtanzania yule, ni Mhutu! Acheni mbwembwe na kupotosha watu humu kwa maslahi ya kisiasa. Mtu aliyezaliwa TZ hawezi kuwachanganya watu wa mikoa miwili wakazua mjadala mpana juu ya Ukoo na Kabila lake. Mjadala huu moja kwa moja ni ushahidi tosha kuwa Magufuli siyo Raia wa TZ, Kwa ujumla, CCM na TISS walituletea balaa Ikulu.

Mwenendo na matendo yake tu unatosha kukujengea mashaka ya Uraia wake! Uliona wapi Mtu asiyependa watu wa Taifa lake mwenyewe!? Yaani Rais anakuwa bize kushirikiana na Rais wa Nchi nyingine kuhujumu Nchi yale mwenyewe!!? Rais anapanga mikakati ya kigaidi ya kuua kiholela wananch wa taifa lake mwenyewe!!? Rais anakuwa hana huruma na mali za Wananch wa Taifa lake mwenyewe!? Rais anakuwa na wivu wa mafanikio ya wananch wa taifa lake mwenyewe!? Rais anakuwa mwepesi kudharau na kukejeri wananchi wa Taifa lake mwenyewe!? Yaani Rais haoni aibu wala Dhamira haimsuti kuifanya Nchi yake mwenyewe kudharaurika kimataifa kwa kukiuka misingi ya haki za Binadamu, uliona wapi!? Huyu siyo Raia ni mamruki, tumekwisha!
 
Msukuma wa Mkoa wa Geita uliokuwa Mkoa wa Mwanza hapo zamani. Kijiji walichotoka zamani saana ni karibu na Mwanza.
Una lingine?
Geita kijiji gani ambao hana hata ndugu, geita anijua vizuri sana nitajie kijiji nitaulizia kama kuna hata ndugu
 
Magufuli ni mtanzania. Najua jambo linalowakera wengi ni HASIRA nk. Na hiyo ndo ni lazima TUMWOMBEE abadilike. AKIWA na UPOLE atafanikiwa sana.
Hapo hakuna mjadala.
Umuombee Banyamulenge? Kwenu hakuna wa kuwaombea
 
Umuombee Banyamulenge? Kwenu hakuna wa kuwaombea
Magufuli ni Mtanzania kama mimi. Na hilo hutalibadili.
Umpende ama usimpende bado atabaki kuwa rais kwa miaka 10 ujayo Mungu akimjalia.
Ondoa chuki mkuu.
 
Geita kijiji gani ambao hana hata ndugu, geita anijua vizuri sana nitajie kijiji nitaulizia kama kuna hata ndugu
Wewe unataka nini hasa?
Na motive/Nia yako ni ipi hasa?

Mbona ndugu zake ni wengi tu.
Na Hamna haja ya kutaja majina ya ndugu zake humu JF.
Je itakusaidia nini ukiwafahamu????

Wewe fanya kazi yako na ujenge taifa kwa kufanya kazi.
Achana na mambo usiyoyajua.
Nafikiri umenielewa vizuri sana.
 
nimekuelewa acha tutawaliwe tu
 
Magufuli siyo Mtanzania yule, ni Mhutu! Acheni mbwembwe na kupotosha watu humu kwa maslahi ya kisiasa. Mtu aliyezaliwa TZ hawezi kuwachanganya watu wa mikoa miwili wakazua mjadala mpana juu ya Ukoo na Kabila lake. Mjadala huu moja kwa moja ni ushahidi tosha kuwa Magufuli siyo Raia wa TZ, Kwa ujumla, CCM na TISS walituletea balaa Ikulu.

Mwenendo na matendo yake tu unatosha kukujengea mashaka ya Uraia wake! Uliona wapi Mtu asiyependa watu wa Taifa lake mwenyewe!? Yaani Rais anakuwa bize kushirikiana na Rais wa Nchi nyingine kuhujumu Nchi yale mwenyewe!!? Rais anapanga mikakati ya kigaidi ya kuua kiholela wananch wa taifa lake mwenyewe!!? Rais anakuwa hana huruma na mali za Wananch wa Taifa lake mwenyewe!? Rais anakuwa na wivu wa mafanikio ya wananch wa taifa lake mwenyewe!? Rais anakuwa mwepesi kudharau na kukejeri wananchi wa Taifa lake mwenyewe!? Yaani Rais haoni aibu wala Dhamira haimsuti kuifanya Nchi yake mwenyewe kudharaurika kimataifa kwa kukiuka misingi ya haki za Binadamu, uliona wapi!? Huyu siyo Raia ni mamruki, tumekwisha!
naanza kumwamini mange juu ya uraia wa hili jamaa maana katili sana kuliko watanzania
 
Umejichanganya. Ukoo hauwezi kuwa kabila. Kwa hiyo Muyango ni ukoo na Msubi ni kabila. Katika wasubi kuna koo zinazopatikana kote mkoa wa Kagera na Uganda kwa Wanyankole. Mfano Basita, Bayango, Basindi, Bagara, Bahutu, etc. Kumbuka Msubi akiongea Mhaya na Mnyambo watamwelewa. Hii ni pamoja na Wazinza na hata Bakerewe unaelewa lugha yao. Kama labda babu yake alikuja na kufia pale si ajabu labda alikuja kama mpagazi. Kumbuka hawa Wasubi na Wazinza ni jamii ya Watsu au Bahima na si ajabu hata Wahutu kwa hiyo kama alikuja kama mpagazi wa kihutu basi ndo watoto wake wakatawanyikia Biharamulo
NILITAKA KUCHANGIA HAPA LAKINI NAONA KAMA VILE WATU HAWATONIELEWA. IATABIDI KUTOKA MBALI SANA. KIMSINGI WAPO WATU AMBAO KUELEWWKA KWAO ASILI YAO HUWA NI NGUMU IKIWA PAMOJA NA ASILI YA KIONGOZI WA MALAIKA A.K.A JIWE A.K.A .............. MODERETA SOMA HIYOOOOOO. NGAPI?
 
Ukweli ni kwamba kama ukisoma historia ya interlacustrine region utakuta koo hizi zinapatikana katika maeneo yote hayo, Uganda (Banyankole, Bachiga, Batoro, Baganda, and Banyoro), Rwanda, Burundi, Tanzania (Wahaya, Wanyambo, Waha, Wasubi, Wazinza, Wakerere, Waangaza) koo ni zile zile
Hata wasukuma
 
Back
Top Bottom