Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Mimi binafsi siamini kama huyu jamaa ni mtanzania hasa tabia zake na ni mtu ambaye hana utu, huruma wala kauli nzuri, watanzania kiasili hatuko hivyo hata kidogo huwa tunajaliana sana pale panapokuwa na matatizo hata kama uwezo ni mdogo.... Bil. 17 za rambi rambi tena zilizochangwa na wasamaria wema zitumike kutengeneza miundombinu wakati wananchi hawana pa kulala ni ajabu sana! Mkwere wetu tunamkumbuka sana apart from everything alikuwa na huruma na utu!
 
Awe nini, sisi haituhusu, si tunajua ni Mtanzania....
Kila mtanzania ana asili yake, Africa huwezi kufuta ethnicity! This is there to stay! Labda kikabila kama cha kwako, lakini usidhani kuna mwaka kabila la wachaga, wanyakyusa, wahaya , wasukuma etc yatatowek na lugha kupotea.
 
Wewe unataka kabila lake ili iweje wakati yeye ashakwambia ni msukuma na watani zake ni wahehe na wamakonde mbona unataka kumulazimisha awe muhaya wakati si kabila lake hata kama akiwa mhaya wewe utapaata faida gan mkuu
 
Mimi binafsi siamini kama huyu jamaa ni mtanzania hasa tabia zake na ni mtu ambaye hana utu, huruma wala kauli nzuri, watanzania kiasili hatuko hivyo hata kidogo huwa tunajaliana sana pale panapokuwa na matatizo hata kama uwezo ni mdogo.... Bil. 17 za rambi rambi tena zilizochangwa na wasamaria wema zitumike kutengeneza miundombinu wakati wananchi hawana pa kulala ni ajabu sana! Mkwere wetu tunamkumbuka sana apart from everything alikuwa na huruma na utu!
Magufuli ni mtanzania. Najua jambo linalowakera wengi ni HASIRA nk. Na hiyo ndo ni lazima TUMWOMBEE abadilike. AKIWA na UPOLE atafanikiwa sana.
Hapo hakuna mjadala.
 
Bukoba kuna koo mbili ambao watumia ilo jina la Mzilankende....Abayango na Wahinda[Abahinda ]sasa msukuma mzilankende ni yupo.....okay nchi nyingi zinaongozwa na wasio wazawa labda
 
Mimi ni mwende wa butanga muganga atagangarwa. Nilikuwa nasikia babu yangu akijiapiza hivyo. Kisha alikuwa akiita mizimu ya ukoo wetu akisema Matwi wa Numi
 
Back
Top Bottom