Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Kazaliwa mwaka gani na vita ilikua mwaka gani? Mkiitwa nyumbu mnaenda mahakamani kupiga kelele
Kalizaliwa 29/10/1959 na Rwanda kulikuwa na Vita kati ya mwaka 1959 mpaka 1961. Hii majibu tu ya swali lako lakini sijasema ni ukweli kazaliwa Rwanda au la, hivyo chukua majibu changanya na akili zako utapata muafaka.
 
Kadi ya ujauzito ya Mama yake pamoja na kadi ya mtoto ya Kliniki umeziona? Au huo mwaka wa kuzaliwa kwake umesimuliwa tu?
 
Kama ukoo wake unamatatizo yaakili basi ndomana nayeye ni mwendawazimu
 
Msitake kutuletea ujinga wenu katika kipindi mahususi ya kujenga nchi. Hata kama angekuwa hana asili na leo akaamua kuwa Tz na kutusaidia watanzania sie tunaona anatufaa. Hivi tukianza kutafuta mababu na mabibi hapa Jf atasalia nani?
 
Heshima kwenu wakuu,

Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba mjini Sehemu inaitwa Uswahilini pale karibu na Sanamu la Mayunga. Jina la babu yake limenitoka nikikumbuka ntaedit niweke hapa ila ni kama alisema aliitwa Mzee Mshalila(?).

Huyu mzee Mashalila alizaa watoto watatu, bahati mbaya hawa watoto wapo hadi leo sema akili zao hazipo sawa. Wapo Uswahili pale Bukoba Mjini.

Kwa wasiofahamu sifa ya Wazilankende ngoja nifafanue kidogo. Nkende ni ngedere, sasa hawa wazilankende ni marafiki wa ngedere. Yaani hata akimuona ngedere barabarani inatakiwa awabebe ndizi. Akikuta ngedere amekufa inabidi alie au anaumwa inabidi amtibie. Hao ndo wazilankende.

Hata ukiangalia kwenye hotuba ya Mbunge wa bukoba mjini Mh. Lwakatare wakati anamkaribisha alisema karibu nyumbani Mzilankende "wayanga waija" hatimaye umekuja(kwa tafsiri isiyo sahihi.).

Ndugu zake rais Magufuli waliopo Bukoba ni Oscar Mashalila, Dotto Mashalila watatu nmesahau jina la mtoto wa tatu, sema ni maarufu tu mjini japo hapo sawa.

Huo ulikuwa ni utangulizi. Swali langu ni;

Rais Magufuli ni nani?
1. Mzilankende
2. Msubi,
3. Msukuma
Au Muyango?

Kusema kweli mtakuwa mumenaidia sana.

Huyu ni mhutu.
 
Kwa kukusaidia , sisi wazilankende ni jamii ya wafugaji na wakulima ni kizazi cha watutsi walio Elimika wapo Rwanda na Burundi.
Wazilankenďe zamani hawakuruhusiwa kuoa jamii nyingine ila baada ya kujichanganya kuoa na kuolewa na jamii nyingine za maajabu ndio kizazi hiki kimepoteza mila na desturi na kubaki na Alama ya Utanzania.
Wazilankende kwa Rwanda na Burundi ndio jamii inayotoa ma
>>>Padre wengi
>>>Usalama wa Taifa wengi
>>>Walimu wengi

Wazilankende wengi ni wa Kristo wa Roman Catholic ni waaminifu

Wazilankende ni watu wa pole ila ukimukosea atalipa kisasi huwa hasau hata ipite miaka atalipa kisasi.

Wazilankende ni wachapa kazi wanaopenda sifa

Wazilankende ukiwasifia hata usipo walipa mshahara watafanya kazi

Wanaume Wazilankende hupendelea kuvaa Suti

Wazilankende hupenda kula mahindi ya kuchoma na chakula chao ni Ndizi , Mîhogo, Viazi vitam, Maharagwe na Ugali na Maziwa
Kumbeee
 
View attachment 736000 Habari!

Kwa habari zisizo rasmi inadaiwa kuwa rais wa sasa wa Tanzania Dr. Joseph Pombe Magufuli kuwa alitokea nchi jirani ya Rwanda na alikuja na mama yake mgogngoni wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Alipofika mpakani mzee Magufuli alimpenda mama huyo ba mtoto wake ikabidi aishi nao na kuzaa watoto wengine wote wakawa kama familia moja.

Naomba uhamiaji watusaidie kujua baba, na bibi na babu zake za rais wa sasa wa nchi ni kina nani na asili yake ni wapi?

Jaman msinitukane ni kutaka kujua hata hao baba wadogo na wakubwa upande wa mama yake mzazi wako wapi?

Siku zako zinahesabika uraiani. Mimi sipoooooooo[emoji1550][emoji1550]
 
Mkuu ukipotezwa usimlaumu yoyote yule. Ukianza kutafuta undani wa watu utakuta hakuna Mtanzania.

Unajua kuwa Ivory Coast inalo kabila kama wagogo wa Dodoma?. Wanafanana kila kitu kwenye masuala ya mila.
Kwani kufanana ndio undugu? Wewe ukifanana na Makonda lazima muwe ndugu?
 
Hivi huu ndo uzi wa GUDUME wa fumanizi au nimekosea njia???naomba mnielekeze JF LOUNGE nimepotea
 
Back
Top Bottom