Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Sasa mods uzi kama huu unamaana gani, na kwanini mnaruhusu uzi wa kashfa kwa kiongozi wa nchi kwa kiasi hiki
 
Nyie huwa ni BHANGI na mna laana wakati mwingne na hizo....
MAGUFULI KAZALIWA MWAKA GANI???
Afu tuambie uo mwaka aliozaliwa kulikuwa na VITA GANI RWANDA?????
Hizi stori zenu kamwe hazitawapeleka IKULU.....
Kasome historia ya Wahutu, watutsi na watwa enzi za ukoloni utajua kwann walikuwa wanahama, hata sisi maeneo ya huko kwetu miaka ya themanini na tisini walikuja Watusi wengi sana kulima vibarua na kufuga ng'ombe
 
Kumbukeni kilichompata Ben Sanane baada ya kuhoji hoji taarifa za mkuu.
 
Mkuu endelea na nyuzi zako kufatilia Viongozi tena wenye maamuzi ya Nchi uraia sijui Elimu yake akisha chaguliwa haisaidii kitu zaidi ya kujenga chuki kati yake na wananchi na hili jukwaa pia...hizi hoja ungezungumza kipindi cha kampeni ili wapiga kura waelewe sasa hivi hakuna utakachoeleweka zaidi ya kuweka maisha yako rehani...achana na haya mkuu
 
si nimesikia uhamiaji ikikanusha kumtaka Nondo akaoneshe kaburi la bibi yake?
 
Habari!

Kwa habari zisizo rasmi inadaiwa kuwa rais wa sasa wa Tanzania Dr. Joseph Pombe Magufuli kuwa alitokea nchi jirani ya Rwanda na alikuja na mama yake mgogngoni wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Alipofika mpakani mzee Magufuli alimpenda mama huyo ba mtoto wake ikabidi aishi nao na kuzaa watoto wengine wote wakawa kama familia moja.

Naomba uhamiaji watusaidie kujua baba, na bibi na babu zake za rais wa sasa wa nchi ni kina nani na asili yake ni wapi?

Uhamiaji nao wanajipenda na wanapenda ugali
 
NYIE MNA LAANA...hapa mnachofanya ni kuondoa stress zenu tu kwa njIa ya kutukana VIONGOZI
Mwenye laana ni yule anayeshabikia mtu anayetamani kuwa Malaika.

Walikuwepo majeuri zaidi yake lakini sasa wako wapi?

Firauni(Pharaoh) yuko wapi? Amekuwa kivutio cha kuingizia pesa, au unataka na huyu aje awe kuvutio kwa vizazi vijavyo?

Mlianzisha ninyi kuhoji asili ya mtu, subirini tuwahoji na ninyi.
 
Hahaha Mkuu mchokoza mada umeshanunua bullet prufu na helmet kichwani tayari? Nakushauri ufiche ip address yako Tu. Kudos.
 
Nyie huwa ni BHANGI na mna laana HAPA MNACHO FANYA NI kutoa stress ZENU kwa njia ya kutukana na kutunga stori za KIBANGI BANGI...yaani hamna tofauti kabsa na HUYO DADA YENU.......ambaye kila SIKU NI KUTUNGA STORI mara ooh MTULILA yupo hoi...MARA SPIKA YUPO MAHUTUTI...mwisho wa siku ni uwongo uwongo kama mfanyavyo nyie hapa.......
MAGUFULI KAZALIWA MWAKA GANI???
Afu tuambie uo mwaka aliozaliwa kulikuwa na VITA GANI RWANDA?????
Hizi stori zenu kamwe hazitawapeleka IKULU.....
Laana zinapatikana kona mbali mbali mpk UHAMIAJI
 
Back
Top Bottom