Msitake kutuletea ujinga wenu katika kipindi mahususi ya kujenga nchi. Hata kama angekuwa hana asili na leo akaamua kuwa Tz na kutusaidia watanzania sie tunaona anatufaa. Hivi tukianza kutafuta mababu na mabibi hapa Jf atasalia nani?
1959 mpaka 1961 kulikuwa na vita vya kikabilaDuuuh, kwahiyo magu amezaliwa miaka ya 90 maana mauaji yametokea miaka hiyo
Mkuu ni vyema moderator wakatunza vizuri uzi huu na tuliochangia mungu atuweke hai mpaka siku hiyo litakaposanuka ili tuulizane vizuriIt's ok to question other people's citizenship but not when it comes to Magufuli? Why?
Issue hapa ni ndogo sana kama unawajua watoto wa baba yake mkubwa huyo anayedaiwa pombe anzia hapo kwanza watakwambia kituMi kuna jamaa yangu mmoja ni msukuma lakin amekulia chato,aliniambia mimi yule jamaa namjua sana,hata yeye ananijua toka anasoma mpaka ni mwalimu,akanitajia hata dada yake anaitwa nani sijui(nimesahau sasa hivi maana kipindi kile sikumuwekea maanani).Akasema huyu bwana ni MSUBI
Mkuu Chakaza, Afrika ni moja, usidanganywe na mipaka iliyowekwa kule Berlin miaka mingi iliyopita.Kwani kufanana ndio undugu? Wewe ukifanana na Makonda lazima muwe ndugu?
Wale wanaohoji uraia wa Abdul Nondo, Askofu Kakobe na Askofu Niwemugizi wanalijua hilo?Mkuu ukipotezwa usimlaumu yoyote yule. Ukianza kutafuta undani wa watu utakuta hakuna Mtanzania.
Unajua kuwa Ivory Coast inalo kabila kama wagogo wa Dodoma?. Wanafanana kila kitu kwenye masuala ya mila.
Bado haijakuhusu?Awe nini, sisi haituhusu, si tunajua ni Mtanzania....
Mie niliwahi kuhakikishiwa kuwa ni msumbwa ila walifukuzwa usumbwani kwa kuwa mama alikataliwa na jamii kwa ajili ya matendo yake ambayo sitayataja hapa, wakahamia Chato.Mi kuna jamaa yangu mmoja ni msukuma lakin amekulia chato,aliniambia mimi yule jamaa namjua sana,hata yeye ananijua toka anasoma mpaka ni mwalimu,akanitajia hata dada yake anaitwa nani sijui(nimesahau sasa hivi maana kipindi kile sikumuwekea maanani).Akasema huyu bwana ni MSUBI
Kumbe ni kakako ndiyo maana huwa unamtetea sana,omuzilankendeMkuu Chakaza, Afrika ni moja, usidanganywe na mipaka iliyowekwa kule Berlin miaka mingi iliyopita.
Hilo linguo ulolivaa tuNi rais wa kujivunia - mnaohoji ukabila nendeni Rwanda au Burundi