Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Sasa mods uzi kama huu unamaana gani, na kwanini mnaruhusu uzi wa kashfa kwa kiongozi wa nchi kwa kiasi hiki
kafiriwe mbere huko kashfa hapo iko wapi?? mmefunzwa uongo na.ukuzaji wa mambo na mmrfunzika kweli kweli mbona mnataka huyo raisi wenu aweka kama malaika yani asisemwe wala kujadiliea kwa lolote?? kweli kuna watu ni matako haki
 
Habari!

Kwa habari zisizo rasmi inadaiwa kuwa rais wa sasa wa Tanzania Dr. Joseph Pombe Magufuli kuwa alitokea nchi jirani ya Rwanda na alikuja na mama yake mgogngoni wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Alipofika mpakani mzee Magufuli alimpenda mama huyo ba mtoto wake ikabidi aishi nao na kuzaa watoto wengine wote wakawa kama familia moja.

Naomba uhamiaji watusaidie kujua baba, na bibi na babu zake za rais wa sasa wa nchi ni kina nani na asili yake ni wapi?

Mkuu kwa Sisi wengine tusiojua lolote naomba utusaidie kutuambia Babu zake Nyerere walitokea nchi gani hapa Afrika?
 
Nyie huwa ni BHANGI na mna laana HAPA MNACHO FANYA NI kutoa stress ZENU kwa njia ya kutukana na kutunga stori za KIBANGI BANGI...yaani hamna tofauti kabsa na HUYO DADA YENU.......ambaye kila SIKU NI KUTUNGA STORI mara ooh MTULILA yupo hoi...MARA SPIKA YUPO MAHUTUTI...mwisho wa siku ni uwongo uwongo kama mfanyavyo nyie hapa.......
MAGUFULI KAZALIWA MWAKA GANI???
Afu tuambie uo mwaka aliozaliwa kulikuwa na VITA GANI RWANDA?????
Hizi stori zenu kamwe hazitawapeleka IKULU.....
Povu vepeeeew
 
kafiriwe mbere huko kashfa hapo iko wapi?? mmefunzwa uongo na.ukuzaji wa mambo na mmrfunzika kweli kweli mbona mnataka huyo raisi wenu aweka kama malaika yani asisemwe wala kujadiliea kwa lolote?? kweli kuna watu ni matako haki
Mku punguza ukali.
Ukweli wa Mtu ni mtu mwenyewe kuwa tofauti na matendo ya wenzake.
Kwani mm na ww hatuwezi kuujua ukweli wa mtu husika
 
Mkuu ukipotezwa usimlaumu yoyote yule. Ukianza kutafuta undani wa watu utakuta hakuna Mtanzania.

Unajua kuwa Ivory Coast inalo kabila kama wagogo wa Dodoma?. Wanafanana kila kitu kwenye masuala ya mila.
Mila za kiafrika nyingi zinafanana tu, kabla ya ukoloni hakukua na mipaka
 
Ndio maana ninawashangaa wanaoendekeza ubaguzi mwaka 2018 wakati wazungu walipokuwa wanaiwekea mipaka Afrika mababu zetu walikuwa wanatembea uchi na kutumia moto wa kupekecha vijiti.
 
Sasa mods uzi kama huu unamaana gani, na kwanini mnaruhusu uzi wa kashfa kwa kiongozi wa nchi kwa kiasi hiki
Sijaona kosa la mods wala mleta mada.
Ni swali la msingi na la ufahamu.
Nakumbuka kuna kipindi Obama alikaliwa kooni hadi akatoa cheti chake cha kuzaliwa.
 
Mkuu ukipotezwa usimlaumu yoyote yule. Ukianza kutafuta undani wa watu utakuta hakuna Mtanzania.

Unajua kuwa Ivory Coast inalo kabila kama wagogo wa Dodoma?. Wanafanana kila kitu kwenye masuala ya mila.
Mkuu swali la mleta hoja ni zuri tu siku hizi tunaulizana sana yule askofu wa Rulenge sasa Nondo kuna ubaya gani kumuulizia na huyu?? Kama na wewe unatoka Bukililo- Ngara jiandae mkuu!
 
Nyie huwa ni BHANGI na mna laana HAPA MNACHO FANYA NI kutoa stress ZENU kwa njia ya kutukana na kutunga stori za KIBANGI BANGI...yaani hamna tofauti kabsa na HUYO DADA YENU.......ambaye kila SIKU NI KUTUNGA STORI mara ooh MTULILA yupo hoi...MARA SPIKA YUPO MAHUTUTI...mwisho wa siku ni uwongo uwongo kama mfanyavyo nyie hapa.......
MAGUFULI KAZALIWA MWAKA GANI???
Afu tuambie uo mwaka aliozaliwa kulikuwa na VITA GANI RWANDA?????
Hizi stori zenu kamwe hazitawapeleka IKULU.....
Nashindwa kuelewa kwa nini hili suala linakuwa kama nguo ya ndani ya mkwe ambayo hutakiwi hata kuuliza rangi.
Binafsi naamini mtu mpaka kufikia uongozi wa nchi tena kutokea Chama kikongwe kama CCM ambacho kwa miaaka zaidi ya 50 vyombo vyote vya dola vimekuwa chini yake,Ni wazi Magufuli ni raia halali wa Tanzania na watu wanataka kujifurahisha tu.
Lakini kuondoa utata,yeye mwenyewe au wasaidizi wake wa karibu watoke hadharani walifafanue hili.Tukumbuke Obama aliandamwa na mwisho akamaliza fitna kwa kutoa cheti cha kuzaliwa.
 
Sasa mods uzi kama huu unamaana gani, na kwanini mnaruhusu uzi wa kashfa kwa kiongozi wa nchi kwa kiasi hiki
Lete proof kuthibitisha uraia wa Uncle Magu. hivyo tu, automatically uzi utakufa a natural death.
 
Matatizo yote haya ya uraia yanatokana na nchi yetu kuwa kama public toilet ,yeyote yule anaingia na kutoka na tatizo hili tutakuwa nalo hadi pale nchi itakapoamka na kuanza utaratibu wa kutoa LIFE BOOKS or IDs,hizi zina historia ya kila mtanzania kuanzia anapozaliwa hadi kufa kwake,wazazi wanapojaliwa kupata motto wanampa jina pale pale ili kumtambua na ndivyo nchi nayo ilitakiwa iwe hivyo,motto anapozaliwa tu kabla mama hajaruhusiwa ni lazima mtoto huyu awe amepewa jina na taifa(identification number) na tayari itakuwa na majina ya wazazi,kazaliwa wapi,afya yake wakati alipozaliwa,address yake n.k.anapokuwa anakuwa kinachofanyika ni kuongezea taarifa ndani ya ID yake elimu yake,kuolewa au kuowa,kuachika kwenye ndoa,n.k,please waziri wangu wa Mambo ya Ndani jaribu kufanya haya ingawa mimi binafsi nimeshakuona huna uwezo wa kuongoza wizara hii,pili my no 1 please tenganisha hii wizara tuwe na wizara ya mambo ya ndani na wizara ya police.
 
Nyie huwa ni BHANGI na mna laana HAPA MNACHO FANYA NI kutoa stress ZENU kwa njia ya kutukana na kutunga stori za KIBANGI BANGI...yaani hamna tofauti kabsa na HUYO DADA YENU.......ambaye kila SIKU NI KUTUNGA STORI mara ooh MTULILA yupo hoi...MARA SPIKA YUPO MAHUTUTI...mwisho wa siku ni uwongo uwongo kama mfanyavyo nyie hapa.......
MAGUFULI KAZALIWA MWAKA GANI???
Afu tuambie uo mwaka aliozaliwa kulikuwa na VITA GANI RWANDA?????
Hizi stori zenu kamwe hazitawapeleka IKULU.....
Tunataka taarifa sahihi kama ilivyokuwa kwa Ulimwengu n.a. Nondo. Ujanja ujanja na ubaguzi hatutaki.
 
Mkuu swali la mleta hoja ni zuri tu siku hizi tunaulizana sana yule askofu wa Rulenge sasa Nondo kuna ubaya gani kumuulizia na huyu?? Kama na wewe unatoka Bukililo- Ngara jiandae mkuu!
Katika umri wangu nimeyaona mengi mkuu. Huyu mleta mada
analeta spirit ya ubaguzi kwenye nchi ambayo mhaya kaolewa na mmakonde, mjita kaoa mchagga.
 
Nashindwa kuelewa kwa nini hili suala linakuwa kama nguo ya ndani ya mkwe ambayo hutakiwi hata kuuliza rangi.
Binafsi naamini mtu mpaka kufikia uongozi wa nchi tena kutokea Chama kikongwe kama CCM ambacho kwa miaaka zaidi ya 50 vyombo vyote vya dola vimekuwa chini yake,Ni wazi Magufuli ni raia halali wa Tanzania na watu wanataka kujifurahisha tu.
Lakini kuondoa utata,yeye mwenyewe au wasaidizi wake wa karibu watoke hadharani walifafanue hili.Tukumbuke Obama aliandamwa na mwisho akamaliza fitna kwa kutoa cheti cha kuzaliwa.
Kuna mengi ya kufafanua mkuu ikiwa ni pamoja na ulinzi
 
Back
Top Bottom