Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Kabla ya Magufuli Asili yake ni Rwanda pia kabla ya CDF mkuu wa majeshi ndiyo hiyo hiyo, huko Usukumani wao ni wahamiaji tu ndiyo maana magufuli anazungumza vizuri kihaya pengine kuliko kisukuma.

Wacha bana !!!!! daah je wewe umetokea wapi Mkuu
 
Magufuli kaongelea vizuri mgogoro wa Ardhi wa Tibaijuka na wanakijiji. Je kina sumayi hawana hati ya ardhi waliyopokonywa au ni mambo y'a huyu ni mwenzetu na huyu siye, Double standard ?!!!
 
Mwizi tu mwenye roho mbaya chuki za kutisha muongo na fisadi.

Heshima kwenu wakuu,

Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba mjini Sehemu inaitwa Uswahilini pale karibu na Sanamu la Mayunga. Jina la babu yake limenitoka nikikumbuka ntaedit niweke hapa ila ni kama alisema aliitwa Mzee Mshalila(?).

Huyu mzee Mashalila alizaa watoto watatu, bahati mbaya hawa watoto wapo hadi leo sema akili zao hazipo sawa. Wapo Uswahili pale Bukoba Mjini.

Kwa wasiofahamu sifa ya Wazilankende ngoja nifafanue kidogo. Nkende ni ngedere, sasa hawa wazilankende ni marafiki wa ngedere. Yaani hata akimuona ngedere barabarani inatakiwa awabebe ndizi. Akikuta ngedere amekufa inabidi alie au anaumwa inabidi amtibie. Hao ndo wazilankende.

Hata ukiangalia kwenye hotuba ya Mbunge wa bukoba mjini Mh. Lwakatare wakati anamkaribisha alisema karibu nyumbani Mzilankende "wayanga waija" hatimaye umekuja(kwa tafsiri isiyo sahihi.).

Ndugu zake rais Magufuli waliopo Bukoba ni Oscar Mashalila, Dotto Mashalila watatu nmesahau jina la mtoto wa tatu, sema ni maarufu tu mjini japo hapo sawa.

Huo ulikuwa ni utangulizi. Swali langu ni;

Rais Magufuli ni nani?
1. Mzilankende
2. Msubi,
3. Msukuma
Au Muyango?

Kusema kweli mtakuwa mumenaidia sana.
 
Unadhani nijambo la maana sana kujitapa kwakabila je mnataka kutambika? Siku hizi kabila linamaana gani zaidi yakutambika mnataka kupanda basi la makabila
 
kinachoonekana hapa, mdogo wa babu yake ndiye alikulia bukoba uswahili na akazikwa huko bukoba lakin babu yake yeye magufuli alikufa nakuzikwa huko chato au sehemu nyingine, walitokea wapi hakuna anayejua vizur labda yeye mwenyewe.
 
Kwa mjibu wa Historia Jamii ya Wasubi, Waangaza na Wanyambo hawa ni wahamiaji kutoka Africa ya kati kama wapagazi hivyo waweza jionea pia namna gani Yule [emoji117]ni pandikizi la kipande kidogo cha muhogo kutoka Africa ya kati. Na ndiyo maana Mti wa Mbuyu umekaliwa na Mpera na Mpera umeweka matawi kila sehemu, hivyo Mbuyu ukitikisika lazima Mpera Ujue kwanza, wakati Mbuyu ni mkubwa zaidi ya Mpera, Taifa langu lako pia!!!
 
Heshima kwenu wakuu,

Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba mjini Sehemu inaitwa Uswahilini pale karibu na Sanamu la Mayunga. Jina la babu yake limenitoka nikikumbuka ntaedit niweke hapa ila ni kama alisema aliitwa Mzee Mshalila(?).

Huyu mzee Mashalila alizaa watoto watatu, bahati mbaya hawa watoto wapo hadi leo sema akili zao hazipo sawa. Wapo Uswahili pale Bukoba Mjini.

Kwa wasiofahamu sifa ya Wazilankende ngoja nifafanue kidogo. Nkende ni ngedere, sasa hawa wazilankende ni marafiki wa ngedere. Yaani hata akimuona ngedere barabarani inatakiwa awabebe ndizi. Akikuta ngedere amekufa inabidi alie au anaumwa inabidi amtibie. Hao ndo wazilankende.

Hata ukiangalia kwenye hotuba ya Mbunge wa bukoba mjini Mh. Lwakatare wakati anamkaribisha alisema karibu nyumbani Mzilankende "wayanga waija" hatimaye umekuja(kwa tafsiri isiyo sahihi.).

Ndugu zake rais Magufuli waliopo Bukoba ni Oscar Mashalila, Dotto Mashalila watatu nmesahau jina la mtoto wa tatu, sema ni maarufu tu mjini japo hapo sawa.

Huo ulikuwa ni utangulizi. Swali langu ni;

Rais Magufuli ni nani?
1. Mzilankende
2. Msubi,
3. Msukuma
Au Muyango?

Kusema kweli mtakuwa mumenaidia sana.

Mimi ni Muyango Umzila nkede, (Umujiji) nafurahi kuona asiri yangu imetoa Rais
Binafs sikubaliani na sera za magufuri ila nampenda MAGUFURI
MUNGU AMPE MAISHA MAREFU
 
Kwa mjibu wa Historia Jamii ya Wasubi, Waangaza na Wanyambo hawa ni wahamiaji kutoka Africa ya kati kama wapagazi hivyo waweza jionea pia namna gani Yule [emoji117]ni pandikizi la kipande kidogo cha muhogo kutoka Africa ya kati. Na ndiyo maana Mti wa Mbuyu umekaliwa na Mpera na Mpera umeweka matawi kila sehemu, hivyo Mbuyu ukitikisika lazima Mpera Ujue kwanza, wakati Mbuyu ni mkubwa zaidi ya Mpera, Taifa langu lako pia!!!
Kwa kukusaidia , sisi wazilankende ni jamii ya wafugaji na wakulima ni kizazi cha watutsi walio Elimika wapo Rwanda na Burundi.
Wazilankenďe zamani hawakuruhusiwa kuoa jamii nyingine ila baada ya kujichanganya kuoa na kuolewa na jamii nyingine za maajabu ndio kizazi hiki kimepoteza mila na desturi na kubaki na Alama ya Utanzania.
Wazilankende kwa Rwanda na Burundi ndio jamii inayotoa ma
>>>Padre wengi
>>>Usalama wa Taifa wengi
>>>Walimu wengi

Wazilankende wengi ni wa Kristo wa Roman Catholic ni waaminifu

Wazilankende ni watu wa pole ila ukimukosea atalipa kisasi huwa hasau hata ipite miaka atalipa kisasi.

Wazilankende ni wachapa kazi wanaopenda sifa

Wazilankende ukiwasifia hata usipo walipa mshahara watafanya kazi

Wanaume Wazilankende hupendelea kuvaa Suti

Wazilankende hupenda kula mahindi ya kuchoma na chakula chao ni Ndizi , Mîhogo, Viazi vitam, Maharagwe na Ugali na Maziwa
 
Screenshot_2018-04-06-10-51-06.png
Habari!

Kwa habari zisizo rasmi inadaiwa kuwa rais wa sasa wa Tanzania Dr. Joseph Pombe Magufuli kuwa alitokea nchi jirani ya Rwanda na alikuja na mama yake mgogngoni wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Alipofika mpakani mzee Magufuli alimpenda mama huyo ba mtoto wake ikabidi aishi nao na kuzaa watoto wengine wote wakawa kama familia moja.

Naomba uhamiaji watusaidie kujua baba, na bibi na babu zake za rais wa sasa wa nchi ni kina nani na asili yake ni wapi?

Jaman msinitukane ni kutaka kujua hata hao baba wadogo na wakubwa upande wa mama yake mzazi wako wapi?
 
Nyie huwa ni BHANGI na mna laana HAPA MNACHO FANYA NI kutoa stress ZENU kwa njia ya kutukana na kutunga stori za KIBANGI BANGI...yaani hamna tofauti kabsa na HUYO DADA YENU.......ambaye kila SIKU NI KUTUNGA STORI mara ooh MTULILA yupo hoi...MARA SPIKA YUPO MAHUTUTI...mwisho wa siku ni uwongo uwongo kama mfanyavyo nyie hapa.......
MAGUFULI KAZALIWA MWAKA GANI???
Afu tuambie uo mwaka aliozaliwa kulikuwa na VITA GANI RWANDA?????
Hizi stori zenu kamwe hazitawapeleka IKULU.....
 
Back
Top Bottom