Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Kama sio msukuma, hii propaganda kwamba ni msukuma ni ili kusaidia kupata kura au kitu gani?
 
Bila kwenda ndani sana ambako mengine si muhimu. Magufuli ni MCHANGANYIKO wa damu kadhaa MIXED BLOOD.
Ana damu ya KISUKUMA na ana damu ya makabila mengine baadhi ya hayo hapo juu.
Wasukuma huwa HAWANA HASIRA kali Magufuli ni MKALI SANA na mwepesi wa KUKASIRIKA!
Hiyo SI hulka ya WASUKUMA! Wasukuma ni WAPOLE!

ACCENT/ LAFUDHI ya Magufuli si PURE KISUKUMA ukimsikiliza kwa makini ana Lafudhi tofauti. kwa sababu ya DAMU mchanganyiko!

Japokuwa Magufuli anakizungumuza Kisukuma vizuri sana lakini si Msukuma kamili.
Japokuwa familia yake the MAGUFULIS huongea KISUKUMA wakiwa nyumbani bado yeye si PURE Msukuma.

Kama ILIVYO KAWAIDA ya Watanzania wengi, Tuko MIXED blood hakuna aliye PURE kabisa labda wa kule ndani sana.
Hata hivyo ukifuatilia BLOODLINE/UKOO utakuta watu wengi si PURE/ KAMILI katika kabila lake

hata Magufuli ni kama WEWE na MIMI. HUO ndo UZURI wa nchi ya Tanzania INTERMARRIAGE /KUOANA makabila tofauti zimevunja UKABILA.

Labda tu umebaki kwa makabila wachache sana WANAOJIBAGUA na KUOANA wao kwa wao!
INTERMARRIAGE kuona nje ya kabila lako kumeisadia Tanzania. Kwa hilo NAJIVUNIA nchi yangu Tanzania!
Bado umetuacha mchanganyiko gani vizur ukisema ni mchanganyiko wa mchaga na mngoni kwa babu mzaa baba na mchanganyiko wa msukuma na muhaya kwa baba na mama lkn umetuoa mtihani mwingine
 
Kabla ya Magufuli Asili yake ni Rwanda pia kabla ya CDF mkuu wa majeshi ndiyo hiyo hiyo, huko Usukumani wao ni wahamiaji tu ndiyo maana magufuli anazungumza vizuri kihaya pengine kuliko kisukuma.
 
Narudia jina la kihaya la mukulu ni KATTO kwao ni karagwe , babu yake siyo mashalila ni mzee MACHALILA, Wa uswahilim Bukoba, ambao baadhi ya ndugu waliamia CHATO katika kutafa riziki,

Cc. Pascal mayalla,
Huyu ni chotara! Lkn tabia za kihaya hana kabisa.
 
Mzilankende si kabila anaweza kuwa kabilla yoyote ile yenye mila za kanda yaziwa au ukanda huo tukianzia Rwanda Burundi Kigoma Ngara Bukoba Uganda Ukerewe na maeneo yote kwani tamaduni zao zinafanana figganigga
 
Hebu NECTA waweke hili swali kuhusu kabila la Mh Magufuli ni lipi kisha tuone kiwango cha ufaulu.
 
Kabla ya Magufuli Asili yake ni Rwanda pia kabla ya CDF mkuu wa majeshi ndiyo hiyo hiyo, huko Usukumani wao ni wahamiaji tu ndiyo maana magufuli anazungumza vizuri kihaya pengine kuliko kisukuma.
Magufuli HAKUTOKA Rwanda wala nchi nyingine jirani.Alizaliwa, kulelewa na kusoma Tanzania.
UZURI wake ni mmoja Magufuli ana KIPAJI na ni WEPESI kujifunza lugha haraka sana.

Hata mimi mwenyewe naongea lugha NYINGI sana za ndani na nje ya nchi kando ya lugha ya MAMA. Na bado mimi ni Mtanzania.

Pia ni lazima tukumbuke kila kabila zilitoka mahali fulani.WASUKUMA wanaongea ni kama watu wa CONGO na NIGER pamoja na makabila fulani nchini CAMEROON na Afrika ya Kusini.
Je tuwaite si Watanzania?
WAHA wa Kigoma wanaongea kama WARUNDI, Japokuwa kuna utofauti wa maneno na lafudhi kidogo tu.
WAHAYA wa Bukoba wanaongea kama WAGANDA and so on and so forth.

MIAKA mingi iliyopita wakati wa migration/ kuhama hama tukatua Tanzania wengine wakaendelea na safari..
Hivyo sisi wote ni MCHANGANYIKO MAALUMU. None is PURE.

Wasomi wa HISTORIA watakubaliana nami huhusu hili Hivyo kumwita Rais kuwa Si Mtanzania ni ZALAU na kukosa kujua the really ya history yetu Watanzania.
 
Bado umetuacha mchanganyiko gani vizur ukisema ni mchanganyiko wa mchaga na mngoni kwa babu mzaa baba na mchanganyiko wa msukuma na muhaya kwa baba na mama lkn umetuoa mtihani mwingine
Kwa kuwa mimi si MWANDISHI wa BIOGRAPHY yake tumgoje mpaka atakapokuandika kitabu chake kuanzia maisha ya utoto wake, Shule yake, Wazazi, Shida alizopitia mpaka kufika hapo alipo.
Naamini kitabu kitakuwa na mengi ya kumifunza kwake. Tungoje Biography yake.
 
Back
Top Bottom