Kuelekea 2025 CHADEMA: Tunakusudia kutwaa Jimbo la Chato uchaguzi wa 2025. Tumewahi shinda vijiji vingi kuliko CCM na Magufuli akiwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
47,943
55,876
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki na alikataliwa Hadi kwao ?😁😁😁

My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa , yaani mumejua kunifurahisha πŸ˜‚πŸ˜‚

====

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza nia yake ya kulitwaa Jimbo la Chato kwa kushinda viti vingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu na ule wa ubunge na madiwani mwakani.

Jimbo hilo ambalo kwa muda mrefu tangu likiwa Biharamulo Magharibi mwaka 1995 hadi lilipoitwa Chato baada ya kuanzishwa wilaya, lilikuwa chini ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli mpaka mwaka 2015 na baada ya hapo Dk. Medard Kalemani mpaka sasa.

Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria, Hezekiah Wenje, ambaye anawania tena nafasi hiyo, amesema kuwa Chato ni moja ya majimbo yaliyoko katika kanda hiyo ambayo wamepania kushinda yote katika uchaguzi ujao.

"Kwa kanda nzima ya Victoria katika majimbo 25, mpango wetu ni kupata majimbo si chini ya 16 likiwamo la Chato na uwezekano upo. Tumeshafanya tathmini na utafiti wa kutosha.

"Kwa mfano Jimbo la Chato tumewahi kuongoza serikali za vijiji vingi kuliko Chama Cha Mapinduzi (CCM) tena kipindi cha Magufuli," amesema.

NIPASHE
 
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki Hadi kwao 😁😁😁

My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa πŸ˜‚πŸ˜‚

====

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza nia yake ya kulitwaa Jimbo la Chato kwa kushinda viti vingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu na ule wa ubunge na madiwani mwakani.

Jimbo hilo ambalo kwa muda mrefu tangu likiwa Biharamulo Magharibi mwaka 1995 hadi lilipoitwa Chato baada ya kuanzishwa wilaya, lilikuwa chini ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli mpaka mwaka 2015 na baada ya hapo Dk. Medard Kalemani mpaka sasa.

Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria, Hezekiah Wenje, ambaye anawania tena nafasi hiyo, amesema kuwa Chato ni moja ya majimbo yaliyoko katika kanda hiyo ambayo wamepania kushinda yote katika uchaguzi ujao.

"Kwa kanda nzima ya Victoria katika majimbo 25, mpango wetu ni kupata majimbo si chini ya 16 likiwamo la Chato na uwezekano upo. Tumeshafanya tathmini na utafiti wa kutosha.

"Kwa mfano Jimbo la Chato tumewahi kuongoza serikali za vijiji vingi kuliko Chama Cha Mapinduzi (CCM) tena kipindi cha Magufuli," amesema.

NIPASHE
ccm wakishinda majimbo yote 25 wasije kusema wameibiwa kura tena,

wao wamejipanga majimbo 16 tu... :pedroP:
 
Ujinga ni mzigo, mleta hoja utasemaje Magufuli hakukubalika Chato ili hali cabinet nzima ya chama chako mkampa akiongoze huku mkijua fika hajawahi hata kuwa balozi tu wa ccm?

Alipowanyoosha na lisisiem lenu la mafisadi mkamuundia zengwe mtu wa watu

Na Magufuli aslimia 100 alikuwa mpinzani
 
Zombie kama wewe huwezi kuwa na hoja . Wewe ni zee jinga linaloishi. Shabikia wajinga wenzako achana na Magufuli.
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Ila ni ukweli alikuwaga hakunaliki kwao yaani hawampendi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ujinga ni mzigo, mleta hoja utasemaje Magufuli hakukubalika Chato ili hali cabinet nzima ya chama chako mkampa akiongoze huku mkijua fika hajawahi hata kuwa balozi tu wa ccm?

Alipowanyoosha na lisisiem lenu la mafisadi mkamuundia zengwe mtu wa watu
Alikuwa hakunaliki huko kwao Wacha maneno mengi,naskia alikuwaga anawateka washindani.wake na amewahi kupigwa chini Ubunge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani mtu Hadi kwao hawamtaki just imagine 🀣🀣
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨ Chadema nawashukuru sana kwa.hii habari iliyowatoa pangoni Sukuma gang wote πŸ€ͺπŸ€ͺ
Nitajie Kiongozi mkuu mmoja tu ambaye siyo Sukuma gang

Maeneo tegemeo ya uchumi Zanzibar, DSM na Arusha

Mihimili ya DOLA

KKKT, Bakwata, TEC

Halafu we Msafwa unayetawaliwa na Wanyakyusa na Wakinga kwenye Ardhi Yako unaleta upumbaf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom