Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Bei ya kiroba cha unga wa mahindi kwa sasa ni Shs 40,000. Upo hapo? hii ndio habari inayotuhusu zaidi sisi wapiga kura. Habari za Mzikiawambuzi na Mzilankende wapelekee wa kwenu wakale...
 
Ukifika Rwanda kunakile wenyewe huita Gakondo hii ni kama vile koo. Huko Rwanda kunaukoo wa Abhazilakende.

Sasa kama mkulu ni Mzilankende basi ni hatari.
Hii inapasa aseme ni Mzilakende kivipiii maana kusema yeye ni Mzilakende ni kukataa kuwa yeye so Msukuma.
Any Kunawazilankete hata Ukerewe na Mara/ujitani.
angejua asingeongea, manake wengine watasema ndio maana alipoapishwa tu breki ya kwanza ilikuwa kutembelea rwanda na kurudisha uhusiano. ilikuwa muhimu kurudisha uhusiano lakini ukiunganisha na hili halileti picha nzuri. hata hivyo, naamini ni mtu aliyezaliwa koo za maziwa makuu region, ni mtz na tunapaswa kusonga mbele, yeye ndo kaanza kuutaja ukoo wake wakati watu hata walikuwa hawaujui.
 
Niliwaambia mapema kabla jk hajaachia kuwa mtumkumbuka, kwani kabla hajaja mtu mzuri huwezi kujua ubaya wa uliyenaye na kabla hajaja mbaya huwezi kujua uzuri wa uliyenaye.
Namkumbuka sana yule jamaa mbali na kaudhaifu chake hakawezi kufikia uzuri wa faru....means udhaifu wa jk ni afadhali kuliko unaoitwa uzuri wa faru j
hapo leo umeongea. pamoja na mapungufu yote ya mkwele, wengi tunamkumbuka na aliendesha nchi vizuri kuliko hao wengine.
 
Nimemsikia Rais akidai kuwa hana mamlaka ya kuchukua ardhi ya Tibaijuka ........... hivi lile shamba la Sumaye serikali iliwezaje kulichukua!!?
 
Aisee kama mimi sijui kabisa asili yangu maana huwa nauliza wananiambia baba wa babu yangu alitokea huko maeneo ya mbali na alikuwa anachunga ng'ombe lakini alisettle sehemu akawa hapo na ndio nimekuwa nikienda kumtembelea babu yangu hapo, ingawaji huyo baba yake babu alisha kufa na babu pia, kutokana na kabila alilolikuta hapo basi na sisi tulishakuwa hilo kabila lakini mpaka sasa sijui asili yangu real kabisa.
 
Heshima kwenu wakuu,

Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba mjini Sehemu inaitwa Uswahilini pale karibu na Sanamu la Mayunga. Jina la babu yake limenitoka nikikumbuka ntaedit niweke hapa ila ni kama alisema aliitwa Mzee Mshalila(?).

Huyu mzee Mashalila alizaa watoto watatu, bahati mbaya hawa watoto wapo hadi leo sema akili zao hazipo sawa. Wapo Uswahili pale Bukoba Mjini.

Kwa wasiofahamu sifa ya Wazilankende ngoja nifafanue kidogo. Nkende ni ngedere, sasa hawa wazilankende ni marafiki wa ngedere. Yaani hata akimuona ngedere barabarani inatakiwa awabebe ndizi. Akikuta ngedere amekufa inabidi alie au anaumwa inabidi amtibie. Hao ndo wazilankende.

Hata ukiangalia kwenye hotuba ya Mbunge wa bukoba mjini Mh. Lwakatare wakati anamkaribisha alisema karibu nyumbani Mzilankende "wayanga waija" hatimaye umekuja(kwa tafsiri isiyo sahihi.).

Ndugu zake rais Magufuli waliopo Bukoba ni Oscar Mashalila, Dotto Mashalila watatu nmesahau jina la mtoto wa tatu, sema ni maarufu tu mjini japo hapo sawa.

Huo ulikuwa ni utangulizi. Swali langu ni;

Rais Magufuli ni nani?
1. Mzilankende
2. Msubi,
3. Msukuma
Au Muyango?

Kusema kweli mtakuwa mumenaidia sana.

Kabila lake linakuongezea kipato chako kwa asilimia ngapi?
 
Ngoja waje maana ata Babu yake hajurikani alitokea kijiji au wilaya hipi hapa Tanzania. ..Nchi nyingi zinaongozwa na wakuja labda
Wenye asili na nchi hii ni wasandawi tu, na wanapatikana singida, the rest ni wakuja ukiwemo na Wewe
 
Bila kwenda ndani sana ambako mengine si muhimu. Magufuli ni MCHANGANYIKO wa damu kadhaa MIXED BLOOD.
Ana damu ya KISUKUMA na ana damu ya makabila mengine baadhi ya hayo hapo juu.
Wasukuma huwa HAWANA HASIRA kali Magufuli ni MKALI SANA na mwepesi wa KUKASIRIKA!
Hiyo SI hulka ya WASUKUMA! Wasukuma ni WAPOLE!

ACCENT/ LAFUDHI ya Magufuli si PURE KISUKUMA ukimsikiliza kwa makini ana Lafudhi tofauti. kwa sababu ya DAMU mchanganyiko!

Japokuwa Magufuli anakizungumuza Kisukuma vizuri sana lakini si Msukuma kamili.
Japokuwa familia yake the MAGUFULIS huongea KISUKUMA wakiwa nyumbani bado yeye si PURE Msukuma.

Kama ILIVYO KAWAIDA ya Watanzania wengi, Tuko MIXED blood hakuna aliye PURE kabisa labda wa kule ndani sana.
Hata hivyo ukifuatilia BLOODLINE/UKOO utakuta watu wengi si PURE/ KAMILI katika kabila lake

hata Magufuli ni kama WEWE na MIMI. HUO ndo UZURI wa nchi ya Tanzania INTERMARRIAGE /KUOANA makabila tofauti zimevunja UKABILA.

Labda tu umebaki kwa makabila wachache sana WANAOJIBAGUA na KUOANA wao kwa wao!
INTERMARRIAGE kuona nje ya kabila lako kumeisadia Tanzania. Kwa hilo NAJIVUNIA nchi yangu Tanzania!
Wenye asili ya nchi hii ni wasandawi, wanapatikana mkoa wa singida, the rest nasikia ni wahamiaji, sina hakika lakini
 
Mimi binafsi siamini kama huyu jamaa ni mtanzania hasa tabia zake na ni mtu ambaye hana utu, huruma wala kauli nzuri, watanzania kiasili hatuko hivyo hata kidogo huwa tunajaliana sana pale panapokuwa na matatizo hata kama uwezo ni mdogo.... Bil. 17 za rambi rambi tena zilizochangwa na wasamaria wema zitumike kutengeneza miundombinu wakati wananchi hawana pa kulala ni ajabu sana! Mkwere wetu tunamkumbuka sana apart from everything alikuwa na huruma na utu!
Mkwere mlisema ni dhaifu, Nae alisema mtamkumbuka!
 
Back
Top Bottom