Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Hawa jamaa wa pande hizo ni wakabila sana. Wanafikiria hoja za ukabila zitamuondoa Rais aliye madarakani. Haiwezekani wajipange upya.

Nafikiria hoja ya kujipendelea Chato inaweza kuwa kubwa kuliko hii ya mtu kujifanya yeye ndio mtanzania halisi zaidi.
Wanajaribu kila njia kupenyeza ukabila, manake ndio kitu wanachokijua zaidi.
 
Sina faida na kabila lake cha msingi aache visasi na chuki atende haki na kuisimamia katiba kama kiapo chake kilivyo.
 
Narudia jina la kihaya la mukulu ni KATTO kwao ni karagwe , babu yake siyo mashalila ni mzee MACHALILA, Wa uswahilim Bukoba, ambao baadhi ya ndugu waliamia CHATO katika kutafa riziki,

Cc. Pascal mayalla,

Kumbe ulishamjibu siku nyingi sana, mbona sasa anauliz auliz akila siku? au ilikuw ahaijamfikia ?
Pascal Mayalla Umemuona na kumjua Katto sasa ?

Connect dot sasa ili ulete majibu.
 
C&P
::Wazilankende::
Somo la leo la historia ni Wazilankende!
Juzi juzi Mheshimiwa mkulu alipopitia Bukoba pamoja na masimango na kejeli zote vile vile alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende.
Abayango aka Wazilankende ni moja ya koo kubwa kanda ya ziwa, kiutamaduni Wazilankende ni ukoo wenye kuheshimu sana enkende (kwa kiswahili enkende ni Ngedere) - hawa Wazilankende wanawachukulia ngedere kama ni ndugu zao au sehemu ya ukoo wao kwa hiyo Muyango (Mzilankende) hata akiwaona ngedere njiani inatakiwa awazawadie ndizi, akikuta ngedere amekufa inabidi alie au anaumwa inabidi amsaidie, hao ndo Wazilankende .

Je Wazilankende wanapatikana katika sehemu gani?
Ukweli ni kwamba kama ukisoma historia utakuta koo hizi zinapatikana katika maeneo ya nchi za Uganda (Banyankole, Bachiga, Batoro, Baganda, and Banyoro), RWANDA, Burundi na Tanzania (Wahaya, Wanyambo, Waha, WASUBI, Wazinza, Wakerewe na Waangaza).
Lakini ukweli ni kwamba hakuna MSUKUMA yoyote anaweza kuitwa Muyango Mzilankende, hicho kitu Usukumani hakipo.

Huko nyuma niliwahi kuandika makala ifatayo (copy and paste)

::Uwakiki wa asili? - Kumbe Mungai ni Mkenya? ...

"Tunae Joseph Mungai ambaye asili yake ni huku (Kenya) lakini kule kwetu alipewa nafasi nyeti, akawa mbunge hadi Waziri. Tena amewahi kuwa hadi Waziri wa Elimu" - John Pombe Magufuli, Kenya

Haya maneno ya Mh. Rais yamenistua....

Hivi kama Mungai asili yake ni Kenya, lakini amezaliwa Mufindi na yeye ana kuwa Mkenya? ...Je na yule mwenye asili ya Rwanda aliyezaliwa Biharamulo, anakuwa Mnyarwanda? Au yule Mwenye asili ya Kihindi lakini alizaliwa Kisutu nae ni Muhindi?

Where do we draw the line?

Je tunaulizana asili na makabila tunataka kutambika? Kama alivyojisemeaga baba wa Taifa.
Yeye alikuwa Mzanaki na hakuwahi kujita Mkurya, Mkwere alikuwa 'very proud' na hakujifanya Mzaramo, na yule wa Masasi haku-'pretend' kuwa Mmakonde.
Sasa ni vipi leo Mzinza au Msubi analazimishia sana Usukuma? Kulikoni?

Msema kweli ni mpenzi wa 'mungu' ...

Anyway doesn't real matter sio wakati wa kutambika huu na wote ni Watanza....Giza oops Nia.

[HASHTAG]#Mzilankende[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PombeSioChai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Twafa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#UsirudieKosa2020[/HASHTAG]

Pascal Mayalla Kumbe Hima/bahima tayari wapo Ikulu.
ndio maana tunambiwa jamaa ndio walizi kule jumba jeupe.
 
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!!mnahangaika na Kabila la mkuu wa nchi ili liwafae mini?hebu leteni uzi wa kumpongeza mkuu kwa kazi nzito ya kuitoa nchi shimoni
Hilo ndilo la msingi,wameshindwa kote sasa wanahangaika na kabila....interesting
 
Kumbe ulishamjibu siku nyingi sana, mbona sasa anauliz auliz akila siku? au ilikuw ahaijamfikia ?
Pascal Mayalla Umemuona na kumjua Katto sasa ?

Connect dot sasa ili ulete majibu.
Huyo jamaa ni mkabila sana. Anataka kutuaminisha yeye ndo mtanzania halisi. Hana hoja zaidi ya kabila la mtu? Hivi anataka kusema anaweza kumbadilisha Rais sababu sio kabila analotaka yeye?
 
Kumbe ulishamjibu siku nyingi sana, mbona sasa anauliz auliz akila siku? au ilikuw ahaijamfikia ?
Pascal Mayalla Umemuona na kumjua Katto sasa ?

Connect dot sasa ili ulete majibu.
No bado sijamfahamu Katto kwa jinsi ile ile simfahamu Daudi Albert Bashite, kila siku bado namuuliza Britanicca, amekua akitoa info za Katto kwa mtindo wa cherry picking, yaani anachagua cha kusema na vingine hasemi.
  1. amesema anamjua Katto tangu alipokuja nchini, namuuliza alitokea wapi, anajua lakini hasemi.
  2. akasema amefikia kwa Babu yake Mzaa mama, nikauliza kwani baba yake halisi ni nani?, anajua lakini hasemi.
  3. anasema jina lake ni Katto, Katto nani hasemi
  4. Sasa haitwi tena Katto, ilikuwa hili jina la Katoo limeishia wapi na kwa nini?, anajua lakini hasemi
  5. Jee majina anayotumia sasa, ameyapata wapi?.
  6. Alisema Katto ni Muhaya kwa kabila la mama yake, ilikuwa sasa amebadili kabila, au ndio la baba?.
Mimi kama mwana habari, nilipaswa kufanya a good IJ story ya Who is Katto, na kuwaeleza Watanzania ukweli, ila bahati mbaya sana, mimi nimejikita kwenye kuandika developmental news only, yaani habari tuu za kimaendeleo zinazoweza kuleta manufaa kwa taifa, lakini kwa vile information is power, habari za Katto, nazitafuta tuu just for the quest of knowledge, to know.

Paskali
 
Hivi Pascal ukabila unawasaidia nini? Can't we move beyond that point?

Ninakukumbuka kwa hili hapa

Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma !
 
Heshima kwenu wakuu,

Juzi rais alipotutembelea huku kwetu Kagera, rais Magufuli alijinasibu kwamba yeye ni Muyango yaani "abayango" hujiita Wazilankende. Akadai babu yake alizikwa pale Bukoba mjini Sehemu inaitwa Uswahilini pale karibu na Sanamu la Mayunga. Jina la babu yake limenitoka nikikumbuka ntaedit niweke hapa ila ni kama alisema aliitwa Mzee Mshalila(?).

Huyu mzee Mashalila alizaa watoto watatu, bahati mbaya hawa watoto wapo hadi leo sema akili zao hazipo sawa. Wapo Uswahili pale Bukoba Mjini.

Kwa wasiofahamu sifa ya Wazilankende ngoja nifafanue kidogo. Nkende ni ngedere, sasa hawa wazilankende ni marafiki wa ngedere. Yaani hata akimuona ngedere barabarani inatakiwa awabebe ndizi. Akikuta ngedere amekufa inabidi alie au anaumwa inabidi amtibie. Hao ndo wazilankende.

Hata ukiangalia kwenye hotuba ya Mbunge wa bukoba mjini Mh. Lwakatare wakati anamkaribisha alisema karibu nyumbani Mzilankende "wayanga waija" hatimaye umekuja(kwa tafsiri isiyo sahihi.).

Ndugu zake rais Magufuli waliopo Bukoba ni Oscar Mashalila, Dotto Mashalila watatu nmesahau jina la mtoto wa tatu, sema ni maarufu tu mjini japo hapo sawa.

Huo ulikuwa ni utangulizi. Swali langu ni;

Rais Magufuli ni nani?
1. Mzilankende
2. Msubi,
3. Msukuma
Au Muyango?

Kusema kweli mtakuwa mumenaidia sana.

Mhe magufuli baba ake mzirakenda alimpiga mimba mama ake magufuli.lkn akaenda kuolewa na mzee magufuli na akalea mimba mpk john akazaliwa na kumkuza mpk kumsomesha na shule zoote.mzee magufuli { baba ake mlezi} ni msukuma na hata mama ake mzazi pia ni msukuma.lkn ss km watanzania tunatafta kabila la magufuli ili litusaidie nn!!?? Tunataka kutambika??!! Au magufuli ni chifu kwamba tunataka tupate mtu atakae rithi uchifu??!! Usukuma wa magufuli unatusaidia nn ss?! Awe mzirankenda awe mzinza.awe mnyago inatuhusu nn ss!!?? Au ukatoriki wake ss km taifa unatusaidia nn!!?? Awe mkristu,awe mwisilamu au hana dini kbs.ss tunataka rais atakaeiongoza tanzania na kuifanya isonge mbele.tunataka rais atakaewaunganisha watanzania.
 
Back
Top Bottom