Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

Naye ni moja ya jizi kubwa kasoro kuhamia CHADEMA. Ipo siku yataanikwa mabaya yake hatakaa aamini watu watakavyomkaanga. Kwasasa bado ni mwenzao, watamkingia kifua kama kawaida.
 
Pogba hamnazo jizi wamekaa naye kwa muda wa miaka 20 hamjamkamata Leo kahama Eti kawa mwizi.

They always talk in reverse language! The opposite is true! Protect and nurture as long as you don’t dare swimming to the shore, you are fine and respected, once you see the light or have empathy for a fellow human being, every name calling will be thrown on your way!
 
Hakuna mwizi hata awe mpumbavu kiasi gani anayeweza kutimkia CHADEMA akahama CCM sehemu salama kwa wezi na kuhamia CHADEMA sehemu rahisi ya kukamatwa na kufungwa gerezani hata kama huna kosa la kukufanya ufungwe gerezani.
 
Kama hata yeye analalama hivyo na kuwaita wanaomkimbia 'majizi', ndivyo hivyo watu hawatachukulia hizo ngonjera zake za 'maendeleo' serious.

Rais hapashwi kabisa kufanya mzaha na mambo serious kama haya. Ukiona mtu anakukimbia na kuuacha ubunge na benefits zake zote kisha wewe unafanya mzaha, may be you need to seek an appointment with your psychiatrist immediately.
UVCCM mpaka watafute dictionary
 
Ingekuwa anaruhusu maswali kwenye hizi propaganda zake mboni pangechimbika.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hakuna jina lililotajwa ila tunajua kauli ya rais ilikuwa inamlenga nani. Rais anayomamlaka ya kuviagiza vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua huyo 'jizi' badala ya kulalamika kama sisi wa mtaani. Vile vile ingekuwa busara kwa rais kujibu hizo hoja za huyo 'jizi' ili tuweze kilidharau kama tutaona ni hoja zipi nzito. Kinyuma cha hapo wenye uelewa mpana watujuze.
 
Chadema chama cha kupokea majizi.......
 
Ikiwa ana uhakika na anachosema mbona hajawapeleka mahakamani. Ni bora angekaa kimya kama baba.
 
Back
Top Bottom