sudi ally hassan
Member
- Jun 18, 2016
- 24
- 11
no sawa watuletee na lesen za indiasijaona au kusikia hiyo hotuba ila kama ameomba hivo na kusahau viwanda vya tractor kubwa na power tiller kweli amekosea maana karibu watanzania 80% wapo involved kwenye kilimo ila ni kilimo kile kilichokuwa kinafanyika kabla ya kuzaliwa Kristo yaani jembe la mkono au ngombe!
Unapozungumzia mapinduzi ya viwanda bila mapinduzi ya kilimo na bure kabisa. ni sawa na kununua gari bila injini. Anyway sijui sera zake lakini sijawahi kumsikia akiweka msisitizo kwenye kilimo kama sekta zingine. Tanzania tunaweza kuwa soko kubwa sana la chakula kwa nchi zinazotuzunguka ambazo hawajitoshelezi kwa chakula kutokana na hali ya hewa mbaya au machafuko ya kisiasa. Ndoto hiyo inawezeweza kutimia endapo tuta mechanize kilimo chetu,,,jembe la mkono au ngombe halitaweza kutusaidia hata kujitosheleza sisi wenyewe kwa chakula!!!