fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Atuli mpira kwann usiote ainue kilimo ili tupate faida tatu kwanza kuondoa tatizo la ajira,kuongeza fedha za kigeni na kupata chakula cha kutosha nchini.Shibe kwanza michezo baadae
Magufuli hawezi kwa sababu viwanja wa wananchi waliviiba ccm na ndivyo vyanzo vikubwa vya mapato yao ya chama.Sasa akijenga viwanja vya serikali atafanya viwanja wa chama vikose soko.Sema kwa kuanzia angerekebisha viwanja vya chama chake viwe vya kisasa pamoja na udogo huohuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
una mawazo mazuri, lakini viwanja vilivyopo ccm ilijimilikisha. Sasa vikijengwa vitakuwa mali ya ccm na si mali ya watanzania.Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani.
Naomba na kushauri hivyo maana namna ya kukuza michezo kwa ngazi za kimataifa ni kuwa na miundo mbinu mwafaka na toshelezi kwa mchezo husika.
Kwa kweli Majiji tajwa hapo juu yanahitaji viwanja vya kisasa vya mpira. Hii ikiwa sambamba na kujindaa ku host AFCON, CHAN na WORL CUPS under 20, 17, 23 au ya WAKUBWA KABISAA.
TUNAOMBA Kwa unyenyekevu mkubwa kama MKAPA alivyofanya, JK alikosea kidogo angejenga hata kimoja pia, basi wewe vile umetosha kwa VYOTE MBOGA NA UGALI, unakusanya kodi mara mbili au tatu zaidi ya JK, basi tupe viwanja vya michezo japo 2 katika majiji TAJWA. la hali ni nzuri tujengee vyote at par.
Natanguliza shukurani. Nakumbuka Mkapa alisema ili cost aroyund 60Bilion, you can set aside 150 Bilions, Mara mbili kila mwaka wa fedha tukapata viwanja kama TANO ama NNE due to inflations. Binafsi SALUTE to YOU RAIS JPM
Mwanza atajenga. Ila Arusha na Mbeya ni kanda maalumu huku tusubiri kwanza CCM ikiondoka madarakani October 2020.
Tangu wamewekeza kwenye kilimo (kilimo kwanza n.k) mpaka leo hizo faida tatu (ulizotaja) bado hamjapata!!?? Kama hamjapata faida basi hata hiyo budget ya ujenzi wa viwanja ikihamishiwa kwenye kilimo haitasaidia kitu.Atuli mpira kwann usiote ainue kilimo ili tupate faida tatu kwanza kuondoa tatizo la ajira,kuongeza fedha za kigeni na kupata chakula cha kutosha nchini.Shibe kwanza michezo baadae
We ujaona zilivovurugwa Na awamu ya kusomesha namba au we mgeniTangu wamewekeza kwenye kilimo (kilimo kwanza n.k) mpaka leo hizo faida tatu (ulizotaja) bado hamjapata!!?? Kama hamjapata faida basi hata hiyo budget ya ujenzi wa viwanja ikihamishiwa kwenye kilimo haitasaidia kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app