Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Hii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.

Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili kwa vigezo na sio kwa kuonewa huruma.

Haiwezekani na haiingii akilini eti kubagua miji hii maarufu kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea miji isiyo na mashabiki wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.

Nasisitiza tunadai haki yetu na sio favour kwa sababu zifuatazo;

Mwanza
  • Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar.
  • Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar.
  • Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi.
  • Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo.

Mbeya
  • Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza.
  • Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania.
  • Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship.
  • Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.
Screenshot_20230929-135912_2.jpg

Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio kwa upendeleo bali kwa haki.

Habari za kusema hakuna hoteli au miundombinu ya kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha, Dodoma, Tanga, Dar nk.

Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya AFCON bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.

Hali hii haivumiliki na haikubaliki, ni wakati wa watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo wataziba maskio.

Ni bora kumwaga mboga sio kwa sababu tunawakubali Wapinzani bali ni kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote, tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
-1945207779.jpg
-111026040.jpg
20230929_072900.jpg

Angalizo: Haya ni maoni na mtizamo binafsi, yasichukuliwe kama uchochezi.Nachokonoa mada Kwa maslahi mapana ya Nchi hii na watu wa Mbeya na Mwanza.
 
Hii tabia ya Kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye Mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.

Wakati Mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya Kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili Kwa vigezo na sio Kwa kuonewa huruma.

Haiwezekani na haiingii akilini eti Kubagua Miji hii Maarufu Kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea Miji isiyo na mashabiki Wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.

Nasisitiza tunadai Haki yetu na sio favour Kwa sababu zifuatazo.

Mwanza.
-Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar
-Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar
-Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi
-Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo

Mbeya
-Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza
-Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania
-Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship
-Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.

Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio Kwa upendeleo Bali Kwa Haki.

Habari za kusema hakuna Hoteli au miundombinu ya Kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha,Dodoma,Tanga,Dar nk.

Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye Miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya Afcon Bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.

Hali hii haivumiliki na haikubaliki,ni wakati wa Watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo CCM wataziba maskio.

Ni Bora kumwaga mboga sio Kwa sababu tunawakubali Wapinzani Bali ni Kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote,tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
Kuna wakati Huwa una vitu vya msingi sana.
 
Huko sahihi, huu ubaguzi ni wawazi...Tena haupo kwenye AFCON tu mambo mengi sana ubaguzi ni wawazi...
 
Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...

CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
 
Hii tabia ya Kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye Mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.

Wakati Mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya Kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili Kwa vigezo na sio Kwa kuonewa huruma.

Haiwezekani na haiingii akilini eti Kubagua Miji hii Maarufu Kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea Miji isiyo na mashabiki Wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.

Nasisitiza tunadai Haki yetu na sio favour Kwa sababu zifuatazo.

Mwanza.
-Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar
-Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar
-Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi
-Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo

Mbeya
-Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza
-Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania
-Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship
-Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.

Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio Kwa upendeleo Bali Kwa Haki.

Habari za kusema hakuna Hoteli au miundombinu ya Kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha,Dodoma,Tanga,Dar nk.

Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye Miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya Afcon Bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.

Hali hii haivumiliki na haikubaliki,ni wakati wa Watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo CCM wataziba maskio.

Ni Bora kumwaga mboga sio Kwa sababu tunawakubali Wapinzani Bali ni Kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote,tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
Leo unaiponda CCM?
 
Kaskazini tunabembelezwa kweli, nyie kanda ya ziwa mshaonekana manyaa... akiteuliwa msukuma mmoja mnapigia kura ccm kama mna wazimu
Hii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.

Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili kwa vigezo na sio kwa kuonewa huruma.

Haiwezekani na haiingii akilini eti kubagua miji hii maarufu kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea miji isiyo na mashabiki wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.

Nasisitiza tunadai haki yetu na sio favour kwa sababu zifuatazo;

Mwanza
  • Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar.
  • Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar.
  • Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi.
  • Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo.

Mbeya
  • Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza.
  • Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania.
  • Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship.
  • Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.

Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio kwa upendeleo bali kwa haki.

Habari za kusema hakuna hoteli au miundombinu ya kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha, Dodoma, Tanga, Dar nk.

Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya AFCON bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.

Hali hii haivumiliki na haikubaliki, ni wakati wa watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo wataziba maskio.

Ni bora kumwaga mboga sio kwa sababu tunawakubali Wapinzani bali ni kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote, tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
View attachment 2766050View attachment 2766051View attachment 2766052

Angalizo: Haya ni maoni na mtizamo binafsi, yasichukuliwe kama uchochezi.
 
Back
Top Bottom