Rais Magufuli huoni aibu? Mbunge anapigwa risasi hadharani mchana kweupe na hakuna chochote kilichofanyika!

Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!

Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Sasa si amemficha huyo dreva wake aliyempiga risasi? Unata serikali ifanye nini? Kwa nini hamtaki kumleta huyo dreva aje ajibu mashitaka yake mahakamani na kama kuna watu alioshirikiana nao aje awataje ili sheria ichukue mkondo wake.
 
Hivi Trump Hana aibu!?
 
Wewe Lucifer au nimekufananisha?
 
Sasa si amemficha huyo dreva wake aliyempiga risasi? Unata serikali ifanye nini? Kwa nini hamtaki kumleta huyo dreva aje ajibu mashitaka yake mahakamani na kama kuna watu alioshirikiana nao aje awataje ili sheria ichukue mkondo wake.
Mataga ndo maana mnalilia kupanuliwa na mwenyekiti wenu.
 
Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!

Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Mimi nitajaribu kumpiga mwanae wa Kigamboni nione serikali itachukua hatua gani,nampiga risasi nane tu
 
Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!

Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Alie pigwa risas amesha pona yuko nchin ila Aliemshambulia bado yupo ubelgij anatibiwa akili

Tunamtaka Dereva
 
Mwambieni DPP wa Tanzania amuandikie barua DPP wa ubelgiji ili achukue taarifa kutoka kwa dereva na hiyo ni kwa Mujibu wa sheria ya Mutual assistance in criminal matters act.
 
Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!

Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa haki ya mtu ya kuishi! Hapana labda kuna watu ambao hawajaumbwa kwa nyama na damu! Labda wapo wenye miili iliyoundwa kwa chuma!

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani na mwisho kuvuliwa ubunge limefehdehesha taifa na kuonekana kuwa sisi ni binadamu wenye roho za kikatili kuliko kawaida. Hilo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya usalama kufumba macho.
Nadhani ni bandiko bora, naomba nilifanye kuwa swali kwa mgombea John. Ikiwa tu ameshindwa law miaka mitatu kuwapata wasiojulikana kwenye shambulio la aliyekuwa Mbunge, anafikiri anastahili kukabidhiwa vyombo vya ulinzi na usalama ili vitulinde sisi wananchi wachoma mahindi kwa kutuhakikishia ulinzi na usalama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom