pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Akifanya mchezo hayo hayo magereza aliyekuwa anayatembelea anaweza kujikuta yuko Ndani.... Labda afanyiwe mupe muruke
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
30 million ni rushwa ndogo? Duh hii hatari ndo zile kauli za vijisenti,hela ya mboga.MNFUMAKOLE,
Haitakuwa mara ya kwanza, alishakamatwa akiomba rushwa ndogo ya mil 30 huko Mirogoro, akasafishwa na kufutiwa kesi na Magufuli
Kuna raia wanakula nchi bhana..🤔🤔🤔 wengine wasindikizaji tu.Sitting Allowance dola 800: Halafu still tunasikia hali mtaani ni ngumu, watu hawana hela, kumbe fedha zipo kwa wachache.
Waombaji walikuwa watatu , sasa wangegawana nini hapo ?30 million ni rushwa ndogo? Duh hii hatari ndo zile kauli za vijisenti,hela ya mboga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi naona tunapigwa changa la macho
Inafahamika vibali vya kusafiri nje ya nchi hutolewa na Ikulu,je wakati ikulu inatoa kibali kwa Kangi na kundi lake waliwauliza wanaenda kufanya nini? Ni wazi lazima waliulizwa, Lugola hawezi kutoka nje ya nchi kwenda Romania bila kibali cha bosi wake!
Je ni kweli MKATABA huo ulikuwa haufahamiki mahala popote? ikiwemo ikulu? Hapana, je mpaka Lugola anaenda nje ya nchi, kamati ya makatibu wakuu,kamati ya wataalamu,wizara ya fedha,si walishaupitia mkataba au? Na je si Baraza la Mawaziri lazima lijue kuhusu MKATABA huo? Hayo mambo ya hovyo yalipitaje?