mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,305
- 13,640
Jamaa unachekesha! Unashangaa raisi kuzindua miradiRais ni waziri wa Ujenzi? Kila Mara anazindua na kuibua miradi ya kujenga.
Jamaa unachekesha! Unashangaa raisi kuzindua miradiRais ni waziri wa Ujenzi? Kila Mara anazindua na kuibua miradi ya kujenga.
Rais wetu mpendwa amesema amesoma Uingereza ambako ndo kwa mara ya kwanza aliona mahandaki ya treni lakini hasemi alisoma kwa lughà gani maana watu wa kule Kisukuma kinawapiga chenga.Rais kasoma sayansi Tanzania, hana uelewa wa Aa Baa, Cchaa Daa, ya fasihi kama huyo mleta mada.
Itakuwaje tuamini wewe unaelewa zaidi yaliyosemwa kuliko wao!
Aisee hyo sita ifutwe hivi wabunge waliosomeshwa na body ya mikopo huwa wanakatwa hyo asilimia kwanini huwa wanapitisha vitu bila kufikiria wengine. Imagine wafanyakazi wa serikali mishahara midogo hafu kukatwa laki mbili parefu sana aiseeNmepiga hesabu kila mwaka napunguza 90,000/= ya deni.
Pesa yote takribani milioni inaenda kufidia hiyo asilimia 6. Kama hiyo 6% ikiondolewa watu watapata moyo wa kurejesha mikopo.
Pia mikopo italipika kirahisi na bodi ya mikopo watapata pesa ya kutosha kusomesha wanafunzi.
Kaanza kampeni mapema huku hataki wenzake wafanye hata vikao vya ndani
Natamani kumwita mkuu 'Kawe Alumni' asome mchango wako huu, lakini niliahidi simsumbui tena kwani kazi nyingi imemzonga.Rais wetu mpendwa amesema amesoma Uingereza ambako ndo kwa mara ya kwanza aliona mahandaki ya treni lakini hasemi alisoma kwa lughà gani maana watu wa kule Kisukuma kinawapiga chenga. Pia hasemi ni handaki gani aliona lakini inaonyesha hakuona lile la kutoka Dover, Uingereza mpaka Calais, Ufaransa chini ya bahari meli zinapita juu treni chini umbali jaribu sawa na toka Dar hadi Zanzibar. Angekuwa aliona angeimarisha Muungano kwa kuchimba handaki mpaka Zenj siyo haya chini ya vichuguu.
Aliyetuleta duniani, akatuacha tuwe kama tulivyo, siku akitaka atachukua. Hakuna cha kujificha ndani, wala kuacha kusalimia watu. Upuuzi gani huo? Kwani waliokufa wana madhambi mengi kuliko waliobaki hai mpaka sasa?Mwambieni aache kuishika shika watu Mikono.
Korona IPO asitegemee waganga na wachawi
Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa! Msimu huu ndio wa kuleta mabadiliko vinginevyo hii 6% itaendelea kutuumiza.Aisee hyo sita ifutwe hivi wabunge waliosomeshwa na body ya mikopo huwa wanakatwa hyo asilimia kwanini huwa wanapitisha vitu bila kufikiria wengine. Imagine wafanyakazi wa serikali mishahara midogo hafu kukatwa laki mbili parefu sana aisee
hajagawa mabulungutu ya ngawira?
matamshi yale ni jadi ya Rais na ni sahihi kupitia taaluma yake ya ualimu Discipline kwanza na hajaanza leo na hatakiwi kuacha utamaduni huo mpya uliotukuka wa kuwachana hadharani anaowatumbua ili wanaoteuliwa kujaza nafasi wajipange! hiyo inaitwa Social Sanction yaani uchafu wa mtu inaambiwa jamii nzima ili wote mumjue nanyi mjipange nayeye mtumbuliwa akome kujitapa mbele ya jamii au kutunga uongo wa kujisafisha! Magu kataja walevi kina Kitwanga, Mabosi kina Gambo nk! yuko sahihi ni Mzungu pure!!
Mimi namuunga mikono na miguu kila anaemtumbua atutangazie uchafu sisi ndio tuliompigia kura anawajibika kwetu si kwa wateule wake!
nchi yetu ilibaki maskini kwa miaka sitini kwa kukosa Rais mwenye ujasiri kama yeye na kwa kukosa uwajibikaji wa viongozi na kwa tabia mbaya ya chama chetu kuficha mambo machafu ya viongozi wake na badala ya kuwatumbua wakawa wanahamishwa vituo!!
Hakika vijana kama hawa wa Chadema unaona kabisa wanafanya sanaa yao kwa mapenzi kabisa sio pesa. Ni tofauti na wale wanaoiimbia ccm kwa mamilioni ya pesa kutoka hazina ya taifa maana ccm haina pesa hizo ndio maana wapo watumishi hata mishahara ni shida kuwalipa
Pole sana!, ni graduate wa fani ya habari na ndio ma graduates wetu, ila pia, anavyoongea kuna watu ndio wanampenda!.Huyu Sam Mahela ameajiriwa kwa kigezo gani?
Matamshi yake mabovu sana
Mpangilio wa mada hovyo sana
Uelewa wa ufafanuzi wa hoja anayosema ni kiwango duni sana
Anaongea kwa kihoro kama kada na si mwandishi wa habari
Kiwango cha chini na hovyo sana, kumsikiliza ni kinyaa sana
Pascal Mayalla
Mkuu anavyoongea na kutamka maneno inashangaza sana. Fuatilia hiyo clip utaona jinsi alivyoboronga maneno ya kawaida kabisa ya kiswahili bila kuleta maana.Pole sana!, ni graduate wa fani ya habari na ndio ma graduates wetu, ila pia, anavyoongea kuna watu ndio wanampenda!.
P
Polepole na Bashiru nao ni marais? shame on youLazima ufahamu ukiwa rais una kuwa na majukumu Zaidi, hivyo kwa JPM ambaye yupo kwa ajili ya Watanzania wigo wake ni Tanzania nzima. Wabunge kwenye majimbo yao nk. Wewe vile vile unaweza kupiga kampeni kama hiyo lakini lazima uwe rais kwanza, kazi unayo. Je, utaupataje huo urais?
Labda uliteuliwa kwenye ushirikinaUteuzi mpya au? Maana nilishateuliwa siku nyingi.
Umeumia eh?