idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,314
Ni kinyago chake hawezi kumhofia hata kidogo.Ila Magu sometimes anazingua sana,jana kamchamba mbamba wa watu Major General Jonh Mbungo.. Hivi huyu mzee mbona hatabiliki? Last time alimsifu Dkt Mwinyi,kua anaongea vizuri na wanajeshi,ila yeye kampasua Major General tena mbele ya makamera! Mzee Magu kuna siku utavuka mipaka utamsema General Mabeyo!
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app