Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,072
- 74,485
Hivi aliekwambia hawana haki ya kuswali nani? Mbona unabadilika? Mara Ijumaa sahv tena umebadilika mara kuswali, usiwe kinyonga! Nimekuuliza unazijua sharti za kuswali Ijumaa unakuja na hoja nyingine, acha kujifanya unaujua Uislam, waachie wenyewe waislam.Hao waliomshauri rais mpaka kufukiza hatua ya kujenga msikiti hapo Chamwino ni waislam kama wewe sasa usijidai wewe kuwa unaujua uislam kuliko wao.
Wasaidizi wa karibu kabisa wa Rais ni waislam na wanayo haki ya kuswali wakiwa eneo Lao la kazi.
كلب واحد!