Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,560
- 51,311
كلب واحد
Uislam hauko hivyo unavyotaka wewe, kama leo wakristo wanachanga kwa ajili ya kujenga mskiti unaona sawa, iko siku wataomba na sehemu ya mskiti wafanye biashara bado utaona sawa tu! Watu hatutakiwi kubaguana ila kiimani kuna baadhi ya vitu haviko sawa, hivyo hatuwezi kuwa sawa. Amini unavyoamini ila kwangu mimi sio sawa. Hata mafundisho tumetofautiana. Hela aliyochanga mkristo kwenda kujenga mskiti sio sawa hata kidogo.
Kama Magufuli anadhani imani ni rahisi kihivyo siku moja akialikwa msikitini akawaambie waislamu watoe sadaka ya kujenga kanisa kisha aone kama atapata senti hata moja!, Labda kutoka kwa watu kama shehe Alhadi!