Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

...wacha tuelekee katika weekend tulivu...pengine angetuongezea stress tu.
Amekuwa na busara kidogo...
 
Hata acha kusema kuwa washirika wa madawa ya kulevya, ndio wanao pambana na Bashite.
 
bongo movie
Natamani sana kukuona akiwa na kina Lulu, Anti Ezekiel, Masogange, Le Mutuz, nk. Pia natamani kumuona Airport akimsubiri Diamond au Ali Kiba ili akabidhiwe tuzo za MTV. Napenda sana aonekane na bukta yake huku akifanya mazoezi na Serengeti Boyz. Itakuwa raha sana akishirikiana na Jike Shupa au Malkia wa Mipasho. Pia asikose kwenye masebene ya FM Akademia, Kanga Moko na Fiesta!
 
Leo mkurugenzi wa mawasiliano ikulu katika hafla ya kuwaapisha viongozi alimkalibisha mheshimiwa raisi aongee na wananchi lakini raisi akajibu hana la kuongea wakati si kawaida yake na ukiangalia asilimia kubwa ya watu leo wameganda kwenye TV zao wakijua raisi atatoa vijembe kama kawaida yake juu ya matukio yaliyotokea likiwemo la mh Nape Nnauye la kumpiga chini uwazili.

= alimkaribisha
= uwaziri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom