Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Aisee kukaa mbali na simu kipindi hiki ni kutafta lawama dakika 2 tu kuna tukio kubwa linatokea niliumia sana 2015 saivi natabasam tu
 
kila siku teuzi sijui atarekebisha uchumi lini.....rais gani ukitofautiana tu na mtu kimtazamo una msitepisha down unateua mwingine.
Hamna maendeleo pasipo mawazo tofautitofauti
Alisema mkuu.

Akikaa anakutana na wafanyakazi HEWA akiinuka anakutana na wenye vyeti FEKI akigeuka anakutana CHADEMA
Chadema hawa ndio kabisaa mikutano yao ndio inazuia ujengaji wa viwanda.

Linii baba .
Leo shughuli za IKULU ziko FULL LIVE TBC & AZAM TWO!!!

Fwatilia
 
Back
Top Bottom