Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Wanabodi,
Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa wamiliki wa vyombo vya habari kwa lugha ya kiingereza kwa kuwaambia...
"Be Careful I'm witching You!".
Onyo hilo amelitoa kufuatia magezeti mengi ya leo kuonyesha picha za tukio la mtu mmoja as if ndio serikali yote!.
Paskali
 
Mi nadhani Mawaziri wanaoingia kwa mara ya kwanza kwenye BLM kama Prof. Kabudi ndio wangeapa tu, hawa wanaohama Wizara ni kupotezeana muda tu.

Kumuapisha mtu kama Mwakyembe haina tofauti na Kumfanyia Kitchen Party mwanamke ambae ameshaishi na huyo Bwana Miaka na Miaka kisha anapotaka kuolewa ndio uanze kumfunda jinsi ya kuishi kwenye Ndoa
 
Nitaandika tu nukuu mbili hapa na mtajiongeza wenyewe kwani nimetoka kumnukuu Kiongozi wetu muda mfupi uliopita akiwa anatiririka kama kawaida yake.
  1. " Unakuta Kiongozi huyo huyo anawatuma Watu waende wakaisema na kuiandika vibaya Serikali huku akiwa na yeye pia amesahau kuwa ni sehemu ya Serikali hiyo hiyo ". ( Hii haikuhusu Kamarada Nape? )
  2. " Unakuta Kituo Kimoja cha Television wao kila wakiona Watu wanateseka huko Vijijini na wamebeba mizigo Vichwani basi wao hiyo taarifa itakaa hata dakika 5 mpaka 7 ila za Maendeleo tunayoyafanya wanaipa muda mchache ". ( Hii haikuhusu Mzee Mengi na ITV yako? )
Kazi ipo hakyanani!

Naomba kuwasilisha.
 
Nilichojifunza magufuli anapenda kufuatilia mitandao. Hivyo tusikate tamaa ya kumsema anaposea ipo siku akubali kwamba anazingua.
 
one word...more actions (true reader- magufuri), he got no time to talk about stupid things, someone has failed to do his job professionally(nape), someone who makes decisions based on emotions and friendship(nape) someone who doesn't know and understand his authorities & responsibility (nape).
 
Rais kipenz cha watanzania JPM amewaonya waandishi wa habari kutodhani kuwa wana uhuru kiasi hicho. Hayo yametokana na kile kilichojitokeza kwenye magazeti ya leo badala kuandika stori za maendeleo kama vile ya makontena wanaandika stori moja tu kila gazeti kumuhusu mtu flani
 
Back
Top Bottom