Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

C7nsEBaWsAECILJ.jpg
 
hotuba za nape utakuta zina akili kuliko za wengine!hahaha hapo ndio huwa tunaamua kuquestion vyeti.
Halafu hao wengine bado wanakuwa na makaratasi ya reference kuonyesha walikaa na kutafakari wanachokileta
 
Balozi anayewakilisha nchi yake hawezi kuapishwa hapa, anawasilisha Credentials.
 
Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt Harisson Mwakyembe huku Palamaganda Kabudi akiiziba nafasi yake anapotoka.

Pia Leo anaapishwa katibu mkuu wa Ikulu ila kwa sasa wanaoapishwa ni mabalozi mbalimbali wanaowakisha nchi zao.
===========

Mkuu kama uko nae mubashara hapo hebu tusaidie pia kutuulizia Kwake je na Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es Salaam ataapishwa lini labda?
 
Yaan azam tv huwa wanakera kila habari ya mkuu live, matangazo yenyewe hawana kazi kututangazia majuic yao yasiyokuwa na kiwango
 
Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt Harisson Mwakyembe huku Palamaganda Kabudi akiiziba nafasi yake anapotoka.

Pia Leo anaapishwa katibu mkuu wa Ikulu ila kwa sasa wanaoapishwa ni mabalozi mbalimbali wanaowakisha nchi zao.
===========

Naposhindwa kuelewa nchi yetu.Kimichezo tupo taabani halafu leo anawekwa mh Mwakyembe kama waziri wa michezo.Sheria ambayo ameisomea imeimshinda kusimamia ndio ataweza michezo kweli ambayo kielimu hata cheti hana?Haya ni masikhara kwenye nchi yetu ya Vioja, dah nimekosea Vi-jembe, hapana namaanisha Vi-wonder.
 
Leo Mh. Raisi atawaapisha viongozi wapya.

Kama tunavyo jua lazima mkuu anaweza kuongea/kutoa kauli yoyote kwa hao viongozi wapya na kwa watanzania.

Karibuni tujadili yatakayo zungumzwa na mheshimiwa Raisi leo.

.............nawasilisha......
 
Tatizo la kumpa mtu Nchi kwa miemko ndo limetufikisha hapa kazi kuteua kutengua ndo kazi anayoweza
 
Back
Top Bottom