Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,061
- 10,355
Kamtuma kinana India kwa matibabu. Haya
Sasa waweke mazuri yatusaidie nini?Nitaandika tu nukuu mbili hapa na mtajiongeza wenyewe kwani nimetoka kumnukuu Kiongozi wetu muda mfupi uliopita akiwa anatiririka kama kawaida yake.
Kazi ipo hakyanani!
- " Unakuta Kiongozi huyo huyo anawatuma Watu waende wakaisema na kuiandika vibaya Serikali huku akiwa na yeye pia amesahau kuwa ni sehemu ya Serikali hiyo hiyo ". ( Hii haikuhusu Kamarada Nape? )
- " Unakuta Kituo Kimoja cha Television wao kila wakiona Watu wanateseka huko Vijijini na wamebeba mizigo Vichwani basi wao hiyo taarifa itakaa hata dakika 5 mpaka 7 ila za Maendeleo tunayoyafanya wanaipa muda mchache ". ( Hii haikuhusu Mzee Mengi na ITV yako? )
Naomba kuwasilisha.
TUFANYE KAZI.Tufanye kazi
Mode sio kila kitu mnaunganisha.
Tukio la kuapisha viongozi linahusu uhapishaji. Onyo la rais kwa media ni something else very serious!. Huwezi kulichanganya na uhapishaji. Hii ni stand alone news
Paskali
Tangu mmeanza kumsema, mmefanikiwa kwa lipi ?Nilichojifunza magufuli anapenda kufuatilia mitandao. Hivyo tusikate tamaa ya kumsema anaposea ipo siku akubali kwamba anazingua.
mbona raha, ungekuwa binti ningekuoa wallah= alimkaribisha
= uwaziri
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Watu mkiwa nyuma ya keyboard mnakuwa na ujasiriKapanik kuona hbr zake tumezipuuza. Na hizi tutazipuuza tu sababh ni ushilawadu na mipasho. Tanzanua imepata rais anayetua kutunga mistari ya taarabu
Lakini taarifa umezipataNimecheck Clouds, ta tv zingine naona wako na vipindi vingine kabisaaa....itv ndio kwanza naona mwalimu wa chekechea anafundisha