Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Mheshimiwa Rais yupo sahihi. Hakuna nchi yoyote ambayo utaichafua unavyo taka halafu uwe salama, haipo. Na wasicho jua wengi ni kuwa wanahabari wengi ni agents wa usalama wa mataifa. Hivyo inapo tokea mtu kila anacho andika ni kuichafua nchi, Lazima adhibitiwe. Upo huru kuongea chochote ila baada ya kuongea, kuendelea kwako kuwa huru kutategemea na umeongea nini!
 
Umechanganya mambo, nchi haiwezi chafuliwa na waandishi wa habari serikali ndo zinachafuliwa
 
Hivi mtu huwa anatumwa kwenda kwenye matibabu? Siku zote hizi nilifikiri mt huwa anaumwa na ndio akatafuta au kufuata matibabu. :rolleyes:
 
Mheshimiwa Rais yupo sahihi. Hakuna nchi yoyote ambayo utaichafua unavyo taka halafu uwe salama, haipo. Na wasicho jua wengi ni kuwa wanahabari wengi ni agents wa usalama wa mataifa. Hivyo inapo tokea mtu kila anacho andika ni kuichafua nchi, Lazima adhibitiwe. Upo huru kuongea chochote ila baada ya kuongea, kuendelea kwako kuwa huru kutategemea na umeongea nini!
wakiambiwa ukweli wanachafuliwa, think twice
 
Mheshimiwa Rais yupo sahihi. Hakuna nchi yoyote ambayo utaichafua unavyo taka halafu uwe salama, haipo. Na wasicho jua wengi ni kuwa wanahabari wengi ni agents wa usalama wa mataifa. Hivyo inapo tokea mtu kila anacho andika ni kuichafua nchi, Lazima adhibitiwe. Upo huru kuongea chochote ila baada ya kuongea, kuendelea kwako kuwa huru kutategemea na umeongea nini!
Kwa nchi za kidikteta labda ambao heri umkosoe Mungu kuliko dikteta. huwezi chafua kilicho kisafi. Wenzetu utumia vyombo vya habari kama kioo wasijikwae.
 
Mheshimiwa Rais yupo sahihi. Hakuna nchi yoyote ambayo utaichafua unavyo taka halafu uwe salama, haipo. Na wasicho jua wengi ni kuwa wanahabari wengi ni agents wa usalama wa mataifa. Hivyo inapo tokea mtu kila anacho andika ni kuichafua nchi, Lazima adhibitiwe. Upo huru kuongea chochote ila baada ya kuongea, kuendelea kwako kuwa huru kutategemea na umeongea nini!

Taaluma ya habari ukataza kuripoti uongo.Kifanyikacho ni kuhabarisha kilichopo yaani kuisomea serikali kitabu kilichoandikwa na serikali.
 
Sehemu nyingi duniani zimeingia vitani kutokana na vyombo vya habari... Wazuri wametiwa ubaya, wabaya wamepambwa na kuwa wazuri...

Mabeberu wamefanya uwekezaji mkubwa kwenye vyombo vya habar...
 
Back
Top Bottom