chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,118
- 22,506
mwenzako anatamani hiyoo rambi rambi iende chato kujenga mabarabara
Wanafanya kazi nzur eehWale wanajitahidi kutupiga faini
Aisee, nini hiki umeandika? usafiri wa maji ukoje huo? Bodi huwa inatenguliwa au inavunjwa?Rais John Pombe Magufuli, ametengua Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Maji na Nchi Kavu (SUMATRA), John Ndunguru
Ukichaa na double standardUkichaa tu!
Ndio dunia ilivyo kila binaadamu hutamani asicho kuwa nacho kenya na uganda wanamtamani magufuli nanyi mmetamani trump kazi kweli!Hapo anaonekana rais wa marekani Donald Trump akishiriki mwenyewe kumuokoa raia kutoka kwenye dhahama ya mafuriko yaliyo tokea huko Florida.tuwache masihara
Ndio dunia ilivyo kila binaadamu hutamani asicho kuwa nacho kenya na uganda wanamtamani magufuli nanyi mmetamani trump kazi kweli!
Sasa kamtimua mkurugenzi au kavunja bodi wa wakurugenzi??
Au wewe unaona yote ni kitu kimoja??
Hao hao wasukuma ndo hata maarifa hawana na ndo sababu ya tumbuatumbua kila uchao, mwenyekiti board TAMESA msukuma katepweta jana tu pwaa, bado na wasukuma wote alowateua atawamwaga maana hali ya nchi ni tete, asipoacha ukabila na kukubali kushauriwa hatafika popote na watz tutashaaatamuweka msukuma au mtu kutoka kanda ya ziwa hiyo nafasi, watu wa kusini na kaskazini hatuna kazi kwenye utawala wake
Yupi huyo anayejisifu hadharani kuwa yeye ni kichaa na anachagua vichaa wenzakeWamekuja kwa nguvu na vitisho vingi lakini wataishia njiani. Ubaguzi haujawahi kumuacha mtu salama. Tupendane huyu ndiyo wa kwetu huyo wa kwao
Jana Bodi ya TEMESAYa jana hii.
Akiwatungua kina Makonda,Jokate,& kangi na kina Mhagama ndio itakuwa new habari
picha la uongo.Ndio dunia ilivyo kila binaadamu hutamani asicho kuwa nacho kenya na uganda wanamtamani magufuli nanyi mmetamani trump kazi kweli!
Wale maaskari ndo wanakusanya mishahara ya watumishi kupitia zile "faini za lazima"...Umesahau ile chai na maaskari shupavu wa barabarani?