Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa SUMATRA

Rais amevunja bodi ya sumatra.
IMG_20180924_081021.jpg
 
Hivi hii inakuwaga ni taarifa kwa vyombo vya habari au kwa umma .?
Kwa vyombo vya habari,alafu vyombo hivyo vinafikisha taarifa kwa umma.Kazi ya vyombo vya habari ni kutujulisha taarifa.Mikutano ya hadhara na ziara ndio hutoa taarifa kwa umma moja kwa moja japo baadhi ya wana jamii watapata taarifa kupitia vyombo vya habari kutoka na na sababu za kijiografia
 
Wamekuja kwa nguvu na vitisho vingi lakini wataishia njiani. Ubaguzi haujawahi kumuacha mtu salama. Tupendane huyu ndiyo wa kwetu huyo wa kwao
 
atamuweka msukuma au mtu kutoka kanda ya ziwa hiyo nafasi, watu wa kusini na kaskazini hatuna kazi kwenye utawala wake
 
Sawa kwa kuleta ujumbe kumkosoa rais wetu ila hiyo picha ni photo shoped.
 
Rais John Pombe Magufuli, ametengua Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Maji na Nchi Kavu (SUMATRA), John Ndunguru

Tumia akili zaidi, ndunguru syo mkurugenzi wa sumatra bali mwenyekiti wa board, kama huwezi kutofautisha kati ya nafasi hizo mbili omba ushauri ndo uje uposti humu
 
Back
Top Bottom