Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"

Tuondoleeni uhuha wenu hapa!. Pumbavu
 
Hizo cyber crime law ambazo hata wananchi wenyewe tunazichukia maana ni upuuzi mtupu,ondoa hizo laws za kipuuzi and everything will be fine maana ndio issue hiyo,sheria za kikandamizaji na wizi wa kura hauna nafasi dunia ya leo lazima Magufuli wakukomeshe na utasalim amri tuu soon or later

Hii mijuha inadhani Watanzania wote wamesoma shule za kata au wanakaaga na mifisi? Nani asiyejua upumbavu wa serikali ya ccm hadi tumefika hapa tulipofika halafu inajitadi kuja na propaganda za kishenzi hapa kuwafanya watu waone mambo yote yako sawa. Huu ni ushenzi huu?

Kwa nini hawaitaki kuzungumzia hio Cyber Crime law na wanavyoitumia kunyanyasa raia na uvunjifu waktiba walioufanya Zanzibar, kitu ambacho hata Watanzania wote hatuvitaki? Mipumbavu inakimbilia kujitetea kwa kuwadanganya watu mambo yako sawa huku ikikwepa hoja kuu inajifanya adui wa Wazungu. Pumbavu kweli kweli. Sasa watanzania wataithibitishia dunia kwamba upole siyo ujinga.

Kwanza ccm wanatutesa hivi wako Wangapi hapa TAnzania? Mbna wanahesabika? Hao wanajeshi na polisi walianguliwa kwenye miti?
 
Masada nao ni wa kushangilia? Tunataka kuvuka hapo tulipo, wao waache wakae na pesa zao
 
Tanzania hatukuwa na maandalizi ya kujitegemea tulilemazwa sana na misaada ya hawa Jamaa wa MCC, kujitegemea Ni processes hatuwezi kulala na kuamka tukiwa tumejitegemea kwa one night.Tukubali wanavyotaka kwanza ili tuanze hizi processes za kujitegemea bila kuathili Maisha ya kila cku kwa RAIA.Naamini ndani ya miaka 15 tutakuwa katika mazingira mazuri ya kujitegemea kama taifa.
 
Safi sana, lakini tungependa atupe mchanganuo wapi tutazipata hizi fedha tofauti na kodi pekee,

Nani akupe sasa, wenyenazo hawataki na wanasiasa wanapita huku na huko kutia fitna msipewe na maisha yanaendelea.
 
Halafu mtu anakuja anasema na bado, wengine wazuie misaada yao kwa TZ hivi ana akili huyu? Kumbe mafanikio ya nchi ni ya Magufuli tu? Hovyo kabisa....sikuamini kumuangalia akiongea....
Kijana unapotaka kuanza kujitegema hutakiwi kumtukana babaako kisa tu una plan ya kwenda kupanga nyumba yako. Tusiwatukane hawa wahisani wametupa kampani ya kutosha (ukiliwa lazima uliwe) sasa kama tunataka kujitegemea hakuna haja ya kuanza kuwananga wahisani (huku kusema sizitaki mbichi hizi). Wote tunataka kujitegemea lakini gia tunayotaka kuanza kujitegema ni mbaya. Wote tunajua haya yote ni kwa sababu ya Zanzibar etc. Tujipange tutafika ila tusikurupuke tutaumbuka. Nchi haiendeshwi kwa porojo na mipango hewa bali kwa sera na mipango inayotekelezeka.
 
safi sana, alivyoanza tu na nchi za naniliiiii kwenye ziara yake ya kwanza nje ya nchi nilijua tu kashawaponda kina xxxxx na hawana tena chao, kama hawakumalizana na mjomba kabla hajatoka madarakani wataisoma namba
 
Tatizo sio utajiri tatizo ni transformation ya hizo resources kuwa utajiri ,unasema una kila kitu ila India na Kenya ndio wanaongoza kwa uuzaji wa Tanzanite kwenye soko la dunia ,

Jk na Wachina wake sijui wana mikataba yao 16 waliongia na sio bunge wala nani anaijua

Unasema una kila kitu wakati nishati ya umeme tu watu wanamwaga maji makusudi Mtera ili tuingie kwenye mgao ,

Hivyo viwanda sijui mitaji yake itatokana na nini kama nishati tu ni tatizo

Wawekezaji wa ndani walipotaka kuwekeza mkasema wawekeze kwenye juice na mandazi sijui ,sasa sijui unategemea huyo mwekezaji wa nje atafanyaje shuguli zake hapa uchumi ukiyumba,

Tuna wapiga siasa kuliko ma technicians,
Tunasafari ndefu kwa kweli
Watu wanamwaga maji mtera? Una uhakika? Maji yakimwagwa mtera yanaenda kidatu maana ni mkondo huo huo kama maji yamemwagwa mtera yameenda wapi wakati na kidatu kima kiko chini? Hyo siyo kweli...
 
They say change is nevr a easy process. Plan za Magufuli kuifanya TZ iwe self reliant ni jambo zito sana. Ni zito in reliality kwasababu donorz wamekua wanachangia national bajet na projects tofauti za maendeleo kwa asilimia kubwa tu tangia tupate uhuru. Unajua effect yake imekua nini?Tumeamua kurelax, tunajua kama kuna tatizo au gap sehem flan wahisan watatoa pesa, infakt hi imetufanya tufikilie kwamba hz donor fundz ni kama za lazima. Ofkoz, hi misaada inakuja na price,who tod u hawa jamaa wanatoa fundz bila kupata kitu kutoka Tz? Sikilizen wenzangu, hakuna kitu kizuri kama mwisho wa siku kujitegemea. Kuna kipindi kile kijana kamaliza chuo anaanza hustle za kutafuta kaz.kuna kitu kinaboa sana ile kuomba pocket mny ili uzungushe CV zako.lakn once umepata kazi, kitu cha kwanza waga ci nikutafuta kwako? Hata kama iwe rum moja, y koz unataka kua free.Lets SHUT UP, kila mtu apige kazi haswa upande wake, turning thz country kua reliable comes with a price. Wapo watu wengi watakua affected bt that's the price for change. We gotta Thnk Big, we gotta thnk outside the Box. Wananch wengi wana common minds lakn amekuja Raisi na fikra tofauti,lets support him. Mi naona hi kitu kawa revolution.TZ is goin to Make it, with or without Donor Funds Godamn it!!Do u knw why wengi wetu tunaogopa kuachia ajira na kuingia kwenye ujasiriamali? Becoz we FEAR DARING. Tumejaa na UOGA wakupindukia lakn ukweli huo uoga ni nothn but SHETANI.Ths man z DARING. We have to DARE and throw out the FEAR in us. Hatuwezi kutumia our potential wakati kichwani tumejiwekea limit. Guys, nimeacha kazi jana, naingia rasmi ulimwengu wa kijasilia mali. Nafanya fish supply na car importation...Twende Kazi.Lets wake up People and Learn to Create an Independ Life. I,YOU,WE CAN DO THZ.Mungu Awape Nguvu zaku DARE for positive Change.
 
Tunamshukuru mungu kumleta Magufuli katika muda muafaka kabisa, angewaleta wazunguusha mikono nchi ingeshauzwa ulaya na marekani. ASANTE MUNGU
Mbona hata yeye alikuwa anazungusha mikono tena yeye alikuwa anazungusha zaidi hata mara hamshini kama alivyosema yeye mwenyewe. Hukumuona? Tujadili hoja iliyopo mezani hayo ya kampeni yaache
 
Back
Top Bottom