Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

Hili jambo jepesi sana. Akimaliza mapumziko awafuate hukohuko kwao na awapange. Mbona wanasomesheka vizuri tu?
 
Kama wezi wa mali za umma watadhibitiwa barabara, basi kodi ya kichwa ikianzishwa niko radhi kutoa bila shuruti.

Shida ni pale unapotoa halafu mnaambiwa kuna ka kikundi ka vibaka kalikoko serikalini kananufaika kwa kiwango kikubwa na kodi yangu ya kichwa.

Hapo ni ufala na maendeleo hayawezi kupatikana
 
Kufatia kwa wahisani kuendelea kujitoa kuifadhili bajeti ya selikali ya Tanzania... Selikali itabidi ielekeze nguvu kubwa ya kukusanya kodi na mapato kutoka katika vyanzo vya ndani ya nchi!!? Hivyo basi ni ukweli usiopingika bei ya bidhaa za ndani ya nchi itapanda baada ya ongezeko la kodi!!!!
e9fd82327642b45f30e21998add443b8.jpg

Maoni yangu

Mtanzania ujipange sana hasa kwa kutumia bidhaa ambazo zitakuwa hazijapitia sokoni!!!!!
Kama ulikuwa umepanda maua nyumbani , ung'oe uanze kupanda mchicha na spinachi!!!!
 
Kitendo cha kuizungumzia sana MCC maana yake ni kwamba ina impact katika hatua za maendeleo yetu. Kama wametunyima hela na tukakaa kimya, hilo lingeashiria tumewapotezea. Kwa sasa naona tumepoteza kitu fulani!
Anayeizungumzia si nyie bavicha unafikiri kuna mtu ana time.
 
Acha kuweka akili yako makalioni, unajitegemea kwa kutumia nini? tutajie namna ya kujitegea sio manenomaneno tu! kwanza nishati ipi tulionao, umeme wenyewe haueleweki na ule wa vijijini inafika mahala hata taa unashindwa kisa hauna nguvu. madini ndio hayo bado yanapelekwa ulaya..gesi ndo ivyo ilipitishwa kihuni kwa siku moja tena usiku kwa kuwafukuza wabunge wanye macho(upinzani) na sheria mbovu kibao....Ili taifa lijitegemee lilipaswa kwanza kijiandaa kisawasawa 1. barabara za uhakika2. nishati ya uhakika na kudumu,viwanda,kilimo na uzalishaji. tumekalia kusema majipu majipu majipu hii haina faida yoyote..aidha tumebaka demokrasia zenj na bara alafu wenye akili nzuri wametugundua na kutuelekeza mema kwa kutubagua misaada eti tunaminya macho hovyo huku nyuma wanao tuibia japan wametupatia misaada tunachekelea nakujisifia sasa kama kweli dira ni kujitegemea kwann tusiukatae wa japan..mara kwa mara tunakamata wachechi na meno ya tembo alafu eti ndio rafiki zetu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Inaonekana hatuna dira yoyote!!! binafsi namuunga mkono rais magufl ila namuomba aachane na usanii wa kuendeshwa na ccm..ccm ni chama hatar kipo radhi kuleta mvulugano mkubwa kuliko kushindwa!!
Umeandika mavi.
 
Mapato ya bandari kwa mwezi ni pesa ngapi? Makadirio ya mapato ya utalii kwa mwaka ni pesa ngapi? Zinakwendaga hazina hz pesa kweli?? Mapato ya mirabaha migodini ni pesa ngapi kwa mwaka???
Huo utalii si hao hao wazungu kutoka nchi hizo?
 
Hilo bakuli jk alilokuwa anapitisha huko duniani kwa miaka 10 tumefanya nini? Juzi kaingia jembe watoto wenu wanasoma bure bila misaada mnakuja kujambajamba hapa.shenzy taip
 
Ajifunze toka kwa Magufuli kutotawaliwa na mwanamke
 
You can stand if you want to stand!

Binadamu tumepewa uwezo kifikra ili kupambana na mazingira hatarishi.

Better to try and fail than never to try at all!

Hii mentality ya kudhani hatuwezi imepandikizwa kielimu katika fikra zetu ili tuwe na inferiority complex.

Nchi zilizoendelea hazikuwa na maliasili, sisi tuna maliasili lakini bado tunadhani hatuwezi.
simple
tendeni haki Zanzibar
futen sheria kandamizi ya Mitandao

otherwise zingine porojo tu
 
"If Hillary can't satisfied her husband how can she satisfied all Americans " Donald Trump.
 
Sas

Sasa kelele za nini si mumuache ashindwe uongozi kwa kukosa hiyo misaada ili tupate kick ya kumuondoa 2020? mbona mnamuonea huruma anayetakiwa kushindwa?
ok, ila mara nyingine inabidi tufikirie utaifa zaidi
 
Back
Top Bottom