Ni aibu sana kwa Watanzania kulilia trilioni moja iliyokuja juzi juzi tu! Hivi kabla ya MCC Tanzania ilikuwa haiendi? Acheni upuuzi nyie mnaodhani bila misaada yenye masharti ya kipumbavu nchi haitakwenda! Asilimia 80 ya Watanzania ni akina sie tuliozoea hali ngumu pamoja na hiyo MCC kuwepo tangu 2008. Tumsaidie Rais Magufuli kuwaambia hao wazungu to go to hell with their money!!kimejenga
Inawezekana kwenu MCC haijawafikia ila huku kwetu tunawashukuru sana kukamilisha mradi tuliohaidiwa toka miaka ya 90 ikakamilika mwaka juz kwa ufadhil100% wa MCC na watu wa Lumumba wakabebana mpk huk kwetu kuja kupiga picha utafikiri cham cha fisiem ndo kimejenga
Kuna ukweli ndani yake Lakin mheshimiwa Rais aelewe kwamba kuna vikwazo.vingi yatupasa kuvivuka ili kutimiza adhma yetu ya kujitegemea."Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Kama sikosei Thailand utalii wa baharini kwa mwaka unawaingizia zaidi ya 14trillion.. So Magufuli akikaza vizuri kila kitu kinawezekana... Cha muhimu abane mianya yote ya kukwepa kodi...Mapato ya bandari kwa mwezi ni pesa ngapi? Makadirio ya mapato ya utalii kwa mwaka ni pesa ngapi? Zinakwendaga hazina hz pesa kweli?? Mapato ya mirabaha migodini ni pesa ngapi kwa mwaka???
"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Ni wakati wako sasa kufufua fikira ulizoua za kujitegemea. Fikiria namna ya kuifanya Tanzania nchi inayojitegemea kiasi cha kufikia kutoa misaada kwa nchi nyingine. Kama unaona uwezi kukaa katika Tanzania inayojitegemea anza sasa utaratibu wa kuukana uraia wa Tanzania na kutafuta uraia wa nchi nyingine itakayokidhi matakwa yako. Kwa nini unataka kila kitu ufanyiwe, yaani hata kufikiri unahitaji msaada...!!? Mnaaza kunifanya niandike kwa ukali kwenye jukwaa hili. TUJITEGEMEE muda ndiyo huu.
"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"