Ndio ujue kuwa watu mara nyingi wanakuchekea wanapoona wewe upo chini, lakini utakapojaribu kunyanyuka ndio utajua anae kuchekea toka rohoni ni nani hasa! Hao mashoga wameona jinsi magu alivyoimpact akili za watu duniani, kiasi cha kuelekea nchi za mbali kama nigeria kujifunza kwetu! Wanajua impact yake kwa makampuni yao ya kitapeli na kibepari yanayovuna utajiri africa na kupeleka ukaliwe ulaya na marekani na watoto wao wakati watoto wa africa wanakufa njaa! Wanajua idea za magu zingebadilisha upepo sana, kwa hiyo wanatafuta kila upenyo wa kuzifuta na kuzidhalilisha, tukiweza kushindana na hili wanalolifanya bila kurudi nyuma, kama alivyofanya mugabe, ndio tutakuwa tumeshinda kweli, waacheni waende mashoga hao, tubaki na utajiri wetu, tutaishi bila wao, pumbavu hao!