minuz
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 624
- 216
Wewe si mtz msaidie rais wako mawazo tutajikwamua vp au hayakuhusuSafi sana, lakini tungependa atupe mchanganuo wapi tutazipata hizi fedha tofauti na kodi pekee,
Wewe si mtz msaidie rais wako mawazo tutajikwamua vp au hayakuhusuSafi sana, lakini tungependa atupe mchanganuo wapi tutazipata hizi fedha tofauti na kodi pekee,
Well said. Tusiishi kama nchi ya kusadikika.Safi sana, lakini tungependa atupe mchanganuo wapi tutazipata hizi fedha tofauti na kodi pekee,
Tunamshukuru mungu kumleta Magufuli katika muda muafaka kabisa, angewaleta wazunguusha mikono nchi ingeshauzwa ulaya na marekani. ASANTE MUNGU"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Hugo ndio upuuzi wa wanasiasa, anatamka halo huku akizungukwa na watu maskini wa kutupwa ikiwa ni pamoja na ndugu zake wanalalia mlo mmoja ndani ya nyumba za nyasi. Siwapendi wanasiasa. Waongo wote"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Nimeupenda mtazamo wako!Kansigo nimekuelewa upande wako, lakini ujue hao waliokuwa wanatupa misaada walikuwa wanachangia pale palipokuwa na deficity inayoletwa na watendaji wa serikali kwa kuiba,miradi hewa,michakato isiyokamilika,rushwa kubwakubwa n.k. hizo deficity zikidhibitiwa hela itakayopatikana itatutosha tu.
mbona awamu iliyopita tulikuwa vinara wa kuomba na kukopa lakini miradi mingi ilikuwa haiendi mpaka wakandarasi walilipotiwa kujiua?
kama haya mapungufu yakidhibitiwa tutafika tu na asiyetupenda kwa tabia yetu ya kuombaomba na kulialia ugumu wa maisha atatupenda tu.
naamini hata wewe kwa uhakika huna mapenzi na mtu mwenye shida kila siku, akitokea tu au kukupigia simu unajua mizinga tayari aidha unajiandaa ujibu vipi au hupokei simu. nadhani tukitaka tuwe na marafiki basi tusiwe na tabia za njaanjaa
naomba kukosolewa
Mkuu kwanini unapenda kuukalia miaka yote ?Yupo sawasawa Rais
Lakini hawa walio ishiwa hoja yakupatia Kick wanadhani MCC imewatoa kimasomaso
Poleni sana
Hewa watu wanavuta bure tu, kwanini msitoze kodi huko?Jamani tumuhurumie raisi wetu, hapo alipo ana mawazo, MCC wamekata mirija, Nchi 10 kati ya 14 zinazochangia budget wamesepa,Bandarini kumezorota, Wafanyabiashara hawaagizi kama kawaida, mapato ya ndani yanaendelea kupungua, kila kinachokusanya kinatumika, Mataifa rafiki hayamuelewi! walimu 50,000 wanatakiwa kuajiriwa, bado pesa za elimu bure ni janga jengine, hata za Mock hamna! nadhani anafikiria kuirudisha kodi ya kichwa sasa
Mkuu usimkane raia mwenzio kwa hoja yake au mtazamo wake bhana!!Wewe si mtz msaidie rais wako mawazo tutajikwamua vp au hayakuhusu
Ulimsikia MAHIGA juzi alivyokuwa anajiliza?Yupo sawasawa Rais
Lakini hawa walio ishiwa hoja yakupatia Kick wanadhani MCC imewatoa kimasomaso
Poleni sana
kasema tuchape kazi kwa bidii sanaSafi sana, lakini tungependa atupe mchanganuo wapi tutazipata hizi fedha tofauti na kodi pekee,
Hana jeuri yakuikataa sema wenye nayo wamekataa UHUNIMm sipingani na wazo la magufuli. Ila kusema kweli kwa kipindi hiki alihitaji hii misaada ili aweze kujenga nafasi ya kujitegemea. Kuikataa hii misaada ni sawa na mtoto kukataa msaada wa ada eti kisa kwao Kuna vyanzo vya mali ambavyo hata kuvitumia hawezi. Ifike mahali tukae na kujadili kama watu tunakjielewa. Kumbukeni pamoja na nguvu za misaada ya zamani, lakini bado watoto wanakaa chini mashuleni. Je tutaweza kujisimamia kama inavyoelezwa?
Very soon mizuka itakata!!! Zile pambio za sifa zitageuka shubiri!! Watu watatafutana na kukimbiana!!! Uchumi ni hesabu sio kelele!!! Uchumi ni namba sio mbwembwe!!! Nchi ambayo 90% ya makusanyo inakwenda kwenye mishahara na madeni kwa hali hii ni kiza kikubwa mbele ya safari!!!Kwahali ya Tanzania ilivyo kwa sasa hasa baada ya uchumi kuanza kuyumba, MCC kukata mirija, Nchi 10 kati ya 14 zinazochangia budget kusepa,Bandarini kuzorota, Wafanyabiashara kutoagizi kama kawaida ili tukusanye kodi, mapato ya ndani TRA kuendelea kupungua, kila kinachokusanya kinatumika, kulipia elimu bure kuzidi kuwa kugumu.
Budget deficit itakuwa kubwa mno,
Nadhani tufikirie kuirudisha kodi ya kichwa sasa ile ya miaka ileeee.