Halafu mtu anakuja anasema na bado, wengine wazuie misaada yao kwa TZ hivi ana akili huyu? Kumbe mafanikio ya nchi ni ya Magufuli tu? Hovyo kabisa....sikuamini kumuangalia akiongea....
..kinachopaswa kufanyika ni kurekebisha mapungufu yaliyosababisha tufungiwe misaada.
..katika hili tunatakiwa tuwalaumu Raisi Magufuli, Dr.Shein, na Mzee Jecha. kiburi chao ndiyo kimetuingiza ktk matatizo haya.
..ningekuwa mimi ndiyo Raisi ningeifuta sheria ya mitandao, na kwa ZNZ ningewaita UN na EU wasimamie uchaguzi mpya kwa gharama zao.