Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

Aisee kwa kweli siaza za sifa zinazidi kutafuna nchi.
 
Kwahali ya Tanzania ilivyo kwa sasa hasa baada ya uchumi kuanza kuyumba, MCC kukata mirija, Nchi 10 kati ya 14 zinazochangia budget kusepa,Bandarini kuzorota, Wafanyabiashara kutoagizi kama kawaida ili tukusanye kodi, mapato ya ndani TRA kuendelea kupungua, kila kinachokusanya kinatumika, kulipia elimu bure kuzidi kuwa kugumu.
Budget deficit itakuwa kubwa mno,

Nadhani tufikirie kuirudisha kodi ya kichwa sasa ile ya miaka ileeee.

Umenikumbusha 1980s, ukishindwa kulipa kodi, unapakiwa kwenye lorry la Halmashauri (Isuzu long base Mbaura) unasafirishwa umbali wa 60 Kms unashushwa ujijue namna utakavyorudi kwenu kwa miguu maana umeshindwa kulipa kodi je nauli utakuwa nayo huku miguu ipo hoi kwa kupigwa na virungu vya mgambo
 
Kwahali ya Tanzania ilivyo kwa sasa hasa baada ya uchumi kuanza kuyumba, MCC kukata mirija, Nchi 10 kati ya 14 zinazochangia budget kusepa,Bandarini kuzorota, Wafanyabiashara kutoagizi kama kawaida ili tukusanye kodi, mapato ya ndani TRA kuendelea kupungua, kila kinachokusanya kinatumika, kulipia elimu bure kuzidi kuwa kugumu.
Budget deficit itakuwa kubwa mno,

Nadhani tufikirie kuirudisha kodi ya kichwa sasa ile ya miaka ileeee.
Hivi TRA walitoa taarifa ya mapato kwa mwezi Februari 2016?zilikuwa kiasi gani tukilinganisha na mapato ya Desemba 2015 na Januari 2016
 
Tunamshukuru mungu kumleta Magufuli katika muda muafaka kabisa, angewaleta wazunguusha mikono nchi ingeshauzwa ulaya na marekani. ASANTE MUNGU
Mpaka leo hujajua kuwa mKWERE alishakuuza mpaka wewe....pole
 
Mkuu wee subiri tu kuna kodi ya kuingiliana kimwili pia inakuja. Kodi hii ni pale kina unapomuingilia/ unapoingiliwa kimwili aidha mkeo, muumeo, au mchepuko basi utatakiwa ulipe VAT ya 5%.
Hahaha! Iyo aiko mbali kabisa
 
Hari zaidi Nguvu zaidi na Kasi zaidi + Hapa Kazitu + Tanzania ya Magufuli Yaja.
 
Ni wakati wako sasa kufufua fikira ulizoua za kujitegemea. Fikiria namna ya kuifanya Tanzania nchi inayojitegemea kiasi cha kufikia kutoa misaada kwa nchi nyingine. Kama unaona uwezi kukaa katika Tanzania inayojitegemea anza sasa utaratibu wa kuukana uraia wa Tanzania na kutafuta uraia wa nchi nyingine itakayokidhi matakwa yako. Kwa nini unataka kila kitu ufanyiwe, yaani hata kufikiri unahitaji msaada...!!? Mnaaza kunifanya niandike kwa ukali kwenye jukwaa hili. TUJITEGEMEE muda ndiyo huu.
Miaka 50+ ya uhuru.
Hakuna mwanaccm mwenye nia ya kuifanya nchi hii iwe ya kujitegemea. Na CCM ndio imeshasema wao ndio wenye hati miliki ya kuitawala Tanzania.
Kwa hiyo, kujitegema chini ya CCM ni sawa na kukimbiza kivuli. Magu atamaliza miaka 5 na Tanzania itakuwa kama ile Tanzania ya miaka ya mwishoni ya utawala wa Nyerere.
Unaikumbuka ilikuwaje?
CCM tokea 1977 imefanya nini kuifanya Tanzania kuelekea huko kwenye kujitegemea?

Ni miezi michache tu iliyopita, Kikwete na Serikali yake, akiwemo Magu walikuwa wanasema kama Rais angetulia tu hapa Bongo bila kutembeza bakuli "tungelikufa njaa".

Magu hakuweza kumshauri bosi wake na kumwambia mbona tuna kila kitu hapa cha kutufanya tuvimbiwe na kulisha wengine?
Magu alifurahia sana misaada.

Mapato ya bandari kwa mwezi ni pesa ngapi? Makadirio ya mapato ya utalii kwa mwaka ni pesa ngapi? Zinakwendaga hazina hz pesa kweli?? Mapato ya mirabaha migodini ni pesa ngapi kwa mwaka???
...
 
"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"

mambo ya Rambo kupigana na jeshi zima peke yake........aka movie aka drama aka soap opera.

ngoja nisiseme mengi!
 
You can stand if you want to stand!

Binadamu tumepewa uwezo kifikra ili kupambana na mazingira hatarishi.

Better to try and fail than never to try at all!

Hii mentality ya kudhani hatuwezi imepandikizwa kielimu katika fikra zetu ili tuwe na inferiority complex.

Nchi zilizoendelea hazikuwa na maliasili, sisi tuna maliasili lakini bado tunadhani hatuwezi.
Naona kwa mbaali akili zinaanza kuwajia.
Mtakula ki-HOGO na maji ya bomba kisha mlale muamke asubuhi mkaijenge nchi mliyoiharibu kila kona.

Mimi naomba misaada ikatwe yote au unasemaje?
 
Namba imegeuka sasa tunaisoma wote ila wakubwa ndo wanaumia zaid maana ss tumeshazoea
 
Kwahali ya Tanzania ilivyo kwa sasa hasa baada ya uchumi kuanza kuyumba, MCC kukata mirija, Nchi 10 kati ya 14 zinazochangia budget kusepa,Bandarini kuzorota, Wafanyabiashara kutoagizi kama kawaida ili tukusanye kodi, mapato ya ndani TRA kuendelea kupungua, kila kinachokusanya kinatumika, kulipia elimu bure kuzidi kuwa kugumu.
Budget deficit itakuwa kubwa mno,

Nadhani tufikirie kuirudisha kodi ya kichwa sasa ile ya miaka ileeee.

..naamini serikali ilikosea kufuta kodi ya kichwa.

..siyo kila jambo alilokuwa akifanya mkoloni lilikuwa baya.

..kodi ya kichwa ingelazimisha kila mtu afanye kazi ili asikose fedha za kulipa kodi ya kichwa.

..enzi za mkoloni mwananchi akikosa kodi ya kichwa alikuwa anakamatwa mali zake, au anapelekwa kwenye shamba la mkonge[walioishi karibu na mashamba hayo] akafanye kazi na kujipatia pesa za kulipa kodi ya kichwa.

..kwa mtizamo wangu, kodi ya kichwa irejeshwe bila kujali kama tunapatiwa au hatupatiwi misaada toka nchi za nje.
 
"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Na Nyerere alisema hivyo hivyo kigoma waliandamana kusapoti hotuba yake miaka hiyo anawaponda IMF NA WB ikawa miezi 18 kisha miaka hali ikazidi kuwa mbaya akaona ya nini isiwe shida akampa kijiti Mzee Ruksa.Ni rahisi sana kupuuzia dhana nzima ya demokrasia kwa wazanzania wenzio kwani unajua watafanya nini??wakileta fyoko wanapigwa lakini ukiingia kwenye anga za hao wazungu jipange vinginevyo INAKULA KWAKO.
 
..naamini serikali ilikosea kufuta kodi ya kichwa.

..siyo kila jambo alilokuwa akifanya mkoloni lilikuwa baya.

..kodi ya kichwa ingelazimisha kila mtu afanye kazi ili asikose fedha za kulipa kodi ya kichwa.

..enzi za mkoloni mwananchi akikosa kodi ya kichwa alikuwa anakamatwa mali zake, au anapelekwa kwenye shamba la mkonge[walioishi karibu na mashamba hayo] akafanye kazi na kujipatia pesa za kulipa kodi ya kichwa.

..kwa mtizamo wangu, kodi ya kichwa irejeshwe bila kujali kama tunapatiwa au hatupatiwi misaada toka nchi za nje.

Inawezekana mkoloni aligundua mapema kuwa hatupendi kufanya kazi?
 
Miaka 50+ ya uhuru.
Hakuna mwanaccm mwenye nia ya kuifanya nchi hii iwe ya kujitegemea. Na CCM ndio imeshasema wao ndio wenye hati miliki ya kuitawala Tanzania.
Kwa hiyo, kujitegema chini ya CCM ni sawa na kukimbiza kivuli. Magu atamaliza miaka 5 na Tanzania itakuwa kama ile Tanzania ya miaka ya mwishoni ya utawala wa Nyerere.
Unaikumbuka ilikuwaje?
CCM tokea 1977 imefanya nini kuifanya Tanzania kuelekea huko kwenye kujitegemea?

Ni miezi michache tu iliyopita, Kikwete na Serikali yake, akiwemo Magu walikuwa wanasema kama Rais angetulia tu hapa Bongo bila kutembeza bakuli "tungelikufa njaa".

Magu hakuweza kumshauri bosi wake na kumwambia mbona tuna kila kitu hapa cha kutufanya tuvimbiwe na kulisha wengine?
Magu alifurahia sana misaada.

people used to die in the rake in magus voice
 
Inawezekana mkoloni aligundua mapema kuwa hatupendi kufanya kazi?

..I dont think so.

..Machifu wa Kipare walimwomba mkoloni atoze kodi ya kichwa ili zipatikane fedha za miradi ya maendeleo, haswa elimu.

..kwa mtizamo wangu mwananchi akiwa analipa kodi ya kichwa basi bila shaka atakuwa na mwamko na hamasa ya kufuatilia matumizi ya fedha hizo.
 
Hii misaada ya mashart mwishoe utakutwa unageuzwa nyuma
 
Back
Top Bottom