Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

Tutakiona cha mtema kuni. Ila mm nawaonea huruma sana watu ambao wanaishi dar kwasbabu walisha zoea maisha ya kihuni.
 
Umenikumbusha 1980s, ukishindwa kulipa kodi, unapakiwa kwenye lorry la Halmashauri (Isuzu long base Mbaura) unasafirishwa umbali wa 60 Kms unashushwa ujijue namna utakavyorudi kwenu kwa miguu maana umeshindwa kulipa kodi je nauli utakuwa nayo huku miguu ipo hoi kwa kupigwa na virungu vya mgambo
ile miaka watu wengi walikuwa wanakimbilia mtoni au ziwani kukwepa kodi
 
Halafu mtu anakuja anasema na bado, wengine wazuie misaada yao kwa TZ hivi ana akili huyu? Kumbe mafanikio ya nchi ni ya Magufuli tu? Hovyo kabisa....sikuamini kumuangalia akiongea....
kusudi haiambiwi pole, hamuwezi kutuvika joho la uzalendo kwa ujinga wa watu wachache
 
Hatudanganyiki tupa pamoja na rais wetu Magufuli tutalipa kwelikweli, tutafanya kazi kweilikweli na tutafanya biashara kweli kweli na mwisho wa siku tutavuka tu.
Baada ya hapo vibaraka wote wa marekani na ulaya wataona haya.
 
Kufatia kwa wahisani kuendelea kujitoa kuifadhili bajeti ya selikali ya Tanzania... Selikali itabidi ielekeze nguvu kubwa ya kukusanya kodi na mapato kutoka katika vyanzo vya ndani ya nchi!!? Hivyo basi ni ukweli usiopingika bei ya bidhaa za ndani ya nchi itapanda baada ya ongezeko la kodi!!!!
e9fd82327642b45f30e21998add443b8.jpg

Maoni yangu

Mtanzania ujipange sana hasa kwa kutumia bidhaa ambazo zitakuwa hazijapitia sokoni!!!!!
Kama ulikuwa umepanda maua nyumbani , ung'oe uanze kupanda mchicha na spinachi!!!!
Hapa kazi tuuuuuuuuuu.
 
"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia"
Hahahaha
 
Mishahara mikubwa ipungue sana.anaepata milioni 15 aw anapata milioni 5 .rais mwenyewe awe anapata milioni 15 basi
 
Elimu bure wafute.haina tija kabisa.milioni 50 kila kijiji zifutwe
 
Ni aibu sana kwa Watanzania kulilia trilioni moja iliyokuja juzi juzi tu! Hivi kabla ya MCC Tanzania ilikuwa haiendi? Acheni upuuzi nyie mnaodhani bila misaada yenye masharti ya kipumbavu nchi haitakwenda! Asilimia 80 ya Watanzania ni akina sie tuliozoea hali ngumu pamoja na hiyo MCC kuwepo tangu 2008. Tumsaidie Rais Magufuli kuwaambia hao wazungu to go to hell with their money!!
 
Sina Shaka kwamba Magu ata handle hili, lakini Na nyie mnaomsupport hadi mnatokwa Na povu, mlishajiuliza ni kwann MCC wamesitisha mkopo?
Ni makosa ya serikali kwa kufanya mambo ya kitoto.
 
Tusipo kaa vizuri ndo mda wa wachina kutupiga kama mpira
 
Sas

Sasa kelele za nini si mumuache ashindwe uongozi kwa kukosa hiyo misaada ili tupate kick ya kumuondoa 2020? mbona mnamuonea huruma anayetakiwa kushindwa?

Hata akishindwa ni kazi bure . Huyu aliyetuletea shida si alishindwa ??????!!
 
Ni aibu sana kwa Watanzania kulilia trilioni moja iliyokuja juzi juzi tu! Hivi kabla ya MCC Tanzania ilikuwa haiendi? Acheni upuuzi nyie mnaodhani bila misaada yenye masharti ya kipumbavu nchi haitakwenda! Asilimia 80 ya Watanzania ni akina sie tuliozoea hali ngumu pamoja na hiyo MCC kuwepo tangu 2008. Tumsaidie Rais Magufuli kuwaambia hao wazungu to go to hell with their money!!
We mpuuzi kweli sijui kama unajua unaloongea, akili yako ipo kisiasa zaidi. Unafikiria karibu sana. Unaongea nonsense confidently. [emoji57]
Tatizo sio kwamba haitotiathiri. , Ila wa Tz tunainekana waj... Kwa kufanya maamuzi ya kishenz.
Fikiria kwann wamesitisha kwanza ndo ujadili utasolve vipi.
Hii ni sawa Na kumfadhili mtoto asiyejishughulisha kusoma.
Think buddy Ts your time.
 
Back
Top Bottom