curie
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 664
- 1,489
Alikosekana kabisa msukuma?
Katiba Mpya Watanzania walishapiga kura na kusema wanaitaka,sio mimi au wewe!
Walipiga kura,wakatoa maoni ,wakatoa na bajeti ya bunge la katiba,ila tu waCCM wakaharibu takwa la wananchi
Sababu za katiba mpya sina haja ya mimi kutoa,wananchi wa Tanzania wanajua ndio maana walifanya mchakato wote
Wewe na mimi ni vidampa tu,watu milioni 60 wenye nchi yao walikwishaamua siku nyingi na processes zote zilipitiwa ila maCCM walikua stopisha mwishoni sijui nani aliwapa hiyo ruksa!
Ustopishaji ule ulikua badili maana haukuamuliwa na wananchi wenyewe kwa kura,ni mapumbavu kadhaa yaliamua
Hivyo tunataka process iendelee kama walivyokua wanataka mwanzoni
Katiba Mpya sio ombi,ni lazima,maana wananchi wenyewe waliamua na wala sio wewe au CCM
Irudisheni kwa LAZIMA....
Hamtaki leo,but it is the matter of time!
Upumbavu au si upumbavu kutokana na macho yangu haukuhusu,ni maamuzi yangu wewe uhusiki nayo
Na wewe pia kutpitia macho yako kuna vitu unaona upumbavu na vingine si upumbavu..ni yako si yetu!
Usinipe kibarua cha kipumbavu cha kutaja nachoona upumbavu au si upumbavu maana wewe ni useless kwangu,na hayo maono ni yangu sio ya mtu,sihitaji ruksa kuyasema popote!
Mwenye mahaba ni wewe na bwana mawe....ni vizuri ukampa taqor kabisa akapiga!
Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.
Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia.
Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24 saa nne asubuhi Ikulu Chamwino.
View attachment 1657542
Teuzi zimeisha.Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.
Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia.
Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24 saa nne asubuhi Ikulu Chamwino.
View attachment 1657542
Hivi 100-60= yake tayari?? Tu yaani mtu kashakula teuzi??🤣🤣🤣🤣Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.
Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia.
Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24 saa nne asubuhi Ikulu Chamwino.
View attachment 1657542
Au mtu wa chatoIna maana hii nafasi amekosekana kabisa msukuma mwenye sifa
Inasemekana ameoa huko na inadaiwa amesoma huko ingawa Darasa halitajwi lakini leo ameamka vizuri mnyalukolo ameula, wa kule waliteuliwa wakatenguliwa tena na tena hajapatikana ambaye hajapewa nafasi labda wangoje huyu atenguliwe.Au mtu wa chato
Pure Traditionalist, je ni mwendelezo wa Mkwawa kuwachukia wazungu!!!Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi
Acha HizoKabila gani
Unataka kutambika???Kabila gani
Twashangaa kulikoniUnataka kutambika???
Ni wa kwetu!!!!Kabila gani
Ndoo vileee papaaaMhehe ni mtani wa msukuma?
TunashukuruNi wa kwetu!!!!
Msukuma mwingine huyo in "ze" eyes of "saccos"Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.