Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Daaah Aisee hii Karibia na uchaguzi tutaona teuzi nyingi za Aajbu Alimradi wakahakikishe CCM inashinda
 
Dah

Ile jamaa kukaimu tu nikajua lazima alikuwa senior kuliko seniors wote wa TISS

Lakii hamna namna hayo ndio maisha

Halafu nilimsikiliza siku moja nikajua tu jamaa ni kichwa kweli pale TISS hawakukosea kumpandisha vyeo vya huko

Ingawa Diwani nae ana kichwa kizuri tu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Alikuwa njema. Hata watendaji wengi walikuwa wanakubali utendaji kazi wake. The rest ni matokeo mengine tu katika kazi.
 
Back
Top Bottom