Kwanza nina uhakika sio msukuma na nazidhi shuhudia kuwa JF ina wazushi mno! Pili comment yako haieleweki!Ni mssukuma ndio maana ameanzisha special assassin squad kwa ruhusa ya mukulu operator akiwa Bashite he is too naked huyu atauwa kuliko Idd Amin alivyouwa raise your voice people utawala huu ni utawala wa kishirikina hauna manufaa kabis kwenye nchi hii wameshindwa kutawala sasa wanataka tukae kimya kama hatutakaa kimya
Aliyekulia MorogoroKipilimba ni msukuma? ?
Yaani hadi mshajua ni msukuma Aliyekulia Moro Haaa humu kuna wadukuzi aiseeAliyekulia Morogoro
Kuna Marehemu mzee Mzena kwake ni Galu street Ada Estate ilipo Bar ya Mamas na pia pale Kijitonyama mle ndani kuna Hospital wameipa jina lakeMkurugenzi wa kwanza wa Usalama Taifa ni Marehemu Mzee Gama kutoka Songea, sikumbuki mtiririko wake ila walifuata pia kina Hans Kitine, Imrani Kombe mchaga, kuna huyu Mnyakyusa amestaafu wakati wa JK nimemsahau jina (Apson Mwang'onda)then akaja Mzanzibar Othman Rashid ndio akaingia bwana huyu.
Upande wa pili ndo UPI? Tuna upande mmoja tu wa watanzania! Cha muhimu ni sifa!Vipi mbona upande wa pili hawateuwi jamani?
Siyo kweli! Achana na wambeya!Yaani hadi mshajua ni msukuma Aliyekulia Moro Haaa humu kuna wadukuzi aisee
Usimtwishe mzigo wa Bashite Wote mlisikia hadharani "sipangiwi"!Kipilimba Mungu anakuona, unajinasibu kama mchungaji wakati unatesa watu
Usimwonee! Ungekuwa kwenye viatu vyake huenda ungeshavuruga sana! Mazingira anayofanyia kazi ni magumu kuliko watangulizi wake wote! Anafanya kazi enzi za "sipangiwi"! Naamini bila hekima yake huenda hali ingekuwa mbaya sana! Nina IMANI sana na huyu MKUU wa usalama na ni moja ya teuzi makini sana zilizofanyika awamu hii!! Anahitaji maombi yetu sana! Ana kazi ngumu sana!Huyu ndie usalama wa kwanza tangu uhuru anayejali tumbo lake na watawala hana manufaa kwa nchi bali kw Magufuli na Bashite ajiangalie tuu vyombo vingine vya usalama vikashaona analeta upuuzi atapata majibu yake maana Polisi wameshaanza kumkana maana operation zake anazofanya na bashite zimekuwa peupee pee he has to go kuliko kutuingiza kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe
Mwongo! Siyo msukuma! Acheni uzushi! Mambo mengine siyo ya kufanyia mzaha kwa sababu unaweza kupandikiza hisia hasi! Tukosoe panapopaswa! Tukikosoa pasipopaswa, ukosoaji wetu mahali panapopaswa utakosa nguvu!ndio ni msukuma kwani hujui
Kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS kwani ndio kuna manisha alikuwa TISS! Kwanza Magufuli kwenye kuteua huwa aangalii mambo hayo eti ulikuwa ndani ya TISSMmmh haya mashirika nyeti ya umma yana watu wa tiss wengi, kumbe huyu mzee alikuwa tiss, wapiga dili wamekwisha
Siamini kama wavamizi wa clouds walipokea amri toka kwa wakuu wa idara yao! Bali nadhani walipokea amri toka kwa Bashite maana wamepangwa kwake tayari! Yalikuwa ni makosa!Idara yenyewe limekuwa genge la wahuni tu. Kazi ni kutumika na akina Bashite kuvamia watu na kuwaumiza tu. Hawa hawa ndo wamemnyooshea bastola Nape. Idara hii imepoteza 'credibility' yake, haina hadhi tunaoifahamu.
narudia kusema ni msukuma na ana squad ya watesaji na wauaji ajue vyombo vingine vya usalama vinmchoraKwanza nina uhakika sio msukuma na nazidhi shuhudia kuwa JF ina wazushi mno! Pili comment yako haieleweki!
unabisha nini sasa kwamba mchungaji sio msukuma na anaendesha operations za kutesa wananchiMwongo! Siyo msukuma! Acheni uzushi! Mambo mengine siyo ya kufanyia mzaha kwa sababu unaweza kupandikiza hisia hasi! Tukosoe panapopaswa! Tukikosoa pasipopaswa, ukosoaji wetu mahali panapopaswa utakosa nguvu!
Ni mluguru! Punguza povu!unabisha nini sasa kwamba mchungaji sio msukuma na anaendesha operations za kutesa wananchi
Wapi? Zanzibar?Vipi mbona upande wa pili hawateuwi jamani?