Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

Pamoja na Rais kuwapenda watu wake wote anaowaongoza lakini pia anao marafiki. Na 1wapo wa marafiki zake ni Diamond. So kumpigia simu na kumpa plomo siyo mbaya. Kumbuka aliyepata sifa hapo ni Diamond kuongea na Rais na siyo Rais kuongea na Diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyume chake kabisa....rais ndiye anayepata sifa kuongea na Diamond...hata siku akiongea na Samatta yeye ndio anapata sifa kuongea na Samatta.

Mfano, Diamond hahitaji kuongea na rais ili umaarufu wake upande ila Rais anahitaji kuongea na Diamond ili umaarufu wake upande....
 
Punguza mahaba hv unadhan ilikuwa hvhv tu?bwana yule n mpenda sifa nyepec na hakubalik haswa ndiomana imeundwa timu ya kucfu na kuabudu
Hayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho
Wewe ni fala sana,huyu mpiga cm anajifanya ni mpenda watu wakati anaua watu mchana kweupe.Anajifanya anawapenda Watanzania wakati anawachezea akili...mnajifanya watu wa maana kumbe mnafanya siasa huku mkiwa mmezuia wapinzani kufanya kampeni
Ondoeni upimbi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinoamiguu,
Ukitaka kushinda mchezo ni lazima kutumia mbinu mbalimbali. Huu si muda wa kulaumu au kulalamika. Ni muda wa kujiongeza.Muda wenyewe umeshaisha mbona ukisema usubiri hadi muda wa kampeni kabisa itakula kwako. Ndio maana sheria zipo na zina adhabu zake kwa kuwa wako wavunjaji.usifikir ni wajinga hadi wanahangaika kupiga simu, usiku mnene , wanajua wanachokifanya
 
Kinoamiguu,
Watz tunapenda sana kujipa stress zisizo na umuhimu.
Hivi ukiamua ku ignore kitendo cha Diamond kupigiwa simu na Magufuli utapungukiwa nini ?
 
Waberoya,
Mwenyewe nilikuwa nawaza kama wewe mkuu. Ila kwenye hizi sikukuu nilifanikiwa kutembelea vijiji kadhaa nyanda za juu kusini. Mweshimiwa hakubaliki kabisa ingawa kuna wanaomuunga pia
 
Wanajamvi msidanganyike na habari za mtandaoni.
Leo tumepita Kigoma mjini tukija huku kambini (kambi za wakimbizi kikazi) na kusimama kidogo shauri ya chakula na kupoza koo kidogo.
Niliona nisipite bila kujua ya juzi usiku, huwezi kuamini kijana niliyezungumza naye akiwa na wenzake wawili wakipiga kiwi viatu amesema hayo ya Magufuli kuongea na simu yalikuwa yana wazengua tuu hakuna aliyetilia maanani.
Kwa kauli yake huku akiungwa mkono na wenzake alisema, "tulimsikia akiongea, lakini kushangilia ilikuwa ni ule mzuka wa muziki tuu, ndio maana pale MTU akisema OYA OYA! Wote tunashangilia OYA"
Na kwamba mbinu za CCM wanazijua wao sio wajinga. Nimeshangaa sana kumbe kazi ya Polepole na mpiga simu ni kujiaibisha tuu kwa hawa watoto wa kitaa!
Ila ukisoma mitandaoni utadhani ni big deal kumbe Kigoma kuliko jaa uislamu wazazi na watu wazima wasio unga mkono tabia za vijana na matamasha yao yaliyojaa bangi na uasherati kitendo cha Rais kubariki shughuli hizo kimewakera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ulitaka ampigie mama yako ndio ungekaa kimya.
Siasa ni namna gani unatumia fursa kdg ulioipata.
Hata wewe umetumia fursa hapa JF kumuonea wivu.
Watanzania tunashida mahali.

Tofa
Usimtukanie mtu Mama yake ambaye hausiki kwenye huu mjadala, simply kwasababu una mahaba na huyo zombie, kama wewe unampenda sana na hupendi kusikia akikosolewa basi nenda ukalale kwake ili ufuahie na kuridhisha nafsi yako, Mama wa mtu anaingiaje hapa ?, jiheshimu basi, Jukwaa hili lilianzishwa kwa ajili ya Great thinkers.
 
Kinoamiguu,
Wewe unamatope kwenye hakiri zako! Ulitaka ampigie mkeo! Diamond nimtanzania km wewe ambae nae amepata fulsa za kuwa rafiki wa jpm, hii nikama nyie mlivyo na bahati yakuwa karibu na hao vibaraka wenu akina roma nahao wengine
 
Back
Top Bottom