Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

Ushindi anaouhakikisha Diamond una mashaka sana. Lakini tusishangae sana kwani ndiyo ufahamu wa watanzania ulipofikia.

Amhakikishia ushindi 2020,

Je, kampeni za uchaguzi zimeanza?

Tume ya uchaguzi mkikaa kimya, mnaandaa madimbwi ya damu.
 
USSR,

Hivi huyu kijana si wanadai alifanya mapenzi na mama yake mzazi!!?? Kweli nyota zinasafishwa kwa uganga wa ajabu. ....
 
Samahani mkuu, mimi siko kwenye timu yoyote zaidi ya timu inayotaka taifa huru. naishi maisha yangu very simple, sipendi kuonea wala kuonewa. Si mtu wa maisha ya Kiba wala wenzake. Namuheshimu kila mtu lakini namuheshimu zaidi yule anaejali utu badala ya tumbo! Namaanisha mtu anaejua thamani ya utu wake ndio atakuwa role model kwangu.
 
Nyerere alifuta ubaguzi wa aina zote na ukanda lakini wajinga wameurudisha
Kaskazini mnaumia sana, ila ndio hivyo mnaowaita washamba ndio wamekamata dola na ndio wengi, mngekuwa na akili kama mnavyodai basi mngekamata dola kama wakikuyu Kenya, mlie, mshambulie mitandaoni, m brag kwamba nyie kwenu migombani ni kama New York sawa, ila ndio dola tushaishika! Na hatuna mpango wa kuiachia, kama ulisoma Political Science unajua concept ya "Majority rule" the tyranny of number, na ndio hao mnaowaita washamba watawaongoza tu, even after 2025!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukabila umeshaathiri vijana wengi sana, hoja yoyote ile ikitolewa hakosi kijana wa kuihusisha na ukanda ama ukabila. Epukeni sana hisia hizi hasi kwa mshikamano na utengamano wa kitaifa, kwa mkishamaliza hizi huko tuendako mtageukia kwenye udini.

Kwanza hata kampeni za uchaguzi hazijazinduliwa bado, kwa hiyo ni kukiuka masharti kwa kuanza kuonyesha na kupiga kampeni kwa uwazi kabisa. Mimi nafikiri angalau ungejielekeza ktk hoja kama hizi badala ya kushabikia ukanda.
Kaskazini mnaumia sana, ila ndio hivyo mnaowaita washamba ndio wamekamata dola na ndio wengi, mngekuwa na akili kama mnavyodai basi mngekamata dola kama wakikuyu Kenya, mlie, mshambulie mitandaoni, m brag kwamba nyie kwenu migombani ni kama New York sawa, ila ndio dola tushaishika! Na hatuna mpango wa kuiachia, kama ulisoma Political Science unajua concept ya "Majority rule" the tyranny of number, na ndio hao mnaowaita washamba watawaongoza tu, even after 2025!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaskazini mnaumia sana, ila ndio hivyo mnaowaita washamba ndio wamekamata dola na ndio wengi, mngekuwa na akili kama mnavyodai basi mngekamata dola kama wakikuyu Kenya, mlie, mshambulie mitandaoni, m brag kwamba nyie kwenu migombani ni kama New York sawa, ila ndio dola tushaishika! Na hatuna mpango wa kuiachia, kama ulisoma Political Science unajua concept ya "Majority rule" the tyranny of number, na ndio hao mnaowaita washamba watawaongoza tu, even after 2025!
Mkuu unapata faida gani unapoiongoza mtu huku ukiwa na maisha ya dhiki isiyo na furaha ?
Hao wanaotumiwa kama daraja hawajui kua Mbwa wa mheshimiwa (presidential dogs) wanaishi na kula pazuri zaidi yao? au unataka kusema wewe na hao wa kaskazini mna utofauti gani kutawaliwa?
 
Wambie hao ndugu zako wanaotukana wasukuma washamba, hawajaendelea waache huo ubaguzi na kushambulia wasukuma, or else we ll reiterate accordingly
Kwani ushamba na kutokuendelea ni tusi ? yaani leo mtu atoke Marekani aseme kua Tanzania hatujaendelea atakua ametutusi?
 
Kwani ushamba na kutokuendelea ni tusi ? yaani leo mtu atoke Marekani aseme kua Tanzania hatujaendelea atakua ametutusi?
Wao wameendelea kwa lipi? Wao hawana ushamba? Waende zao hapa, wasitusumbue akili, kila siku kwenye mitandao ya kijamii kushambulia watu kuwaita washamba.
 
Nilidhani Kampeni zilitakiwa zisimame ili tufanye kazi.., yaani hapa kazi tu.... au kampeni nazo ni kazi ?
 
Wao wameendelea kwa lipi? Wao hawana ushamba? Waende zao hapa, wasitusumbue akili, kila siku kwenye mitandao ya kijamii kushambulia watu kuwaita washamba.
Mkuu taratibu basi; mtu akikwambia jambo inabidi ujiangalie mara mbilimbili yawezekana akakusaidia. Mfano watu wanaposema sisi wachagga ni wezi wa pesa tuwapo kazini nikweli ? au watu wanaposema sisi wahaya ni wajivuni ni kweli? au watu wanaposema sisi wasukuma ni washamba ni kweli? au watu wanaposema sisi waTanzania IQ yetu ni ya chini ni kweli?
 
Back
Top Bottom