Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

Wewe unamatope kwenye hakiri zako! Ulitaka ampigie mkeo! Diamond nimtanzania km wewe ambae nae amepata fulsa za kuwa rafiki wa jpm, hii nikama nyie mlivyo na bahati yakuwa karibu na hao vibaraka wenu akina roma nahao wengine
Tulia uandike kwa ufasaha! Au hapo ndio mwisho wa uwezo wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na Rais kuwapenda watu wake wote anaowaongoza lakini pia anao marafiki. Na 1wapo wa marafiki zake ni Diamond. So kumpigia simu na kumpa plomo siyo mbaya. Kumbuka aliyepata sifa hapo ni Diamond kuongea na Rais na siyo Rais kuongea na Diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sifa gani kuongea na dudu kama hili? Ona bichwa lake kama chungu kilichokosa mfinyanzi bora.
 
Diamond kaongeza popularity na personality kwa kupigiwa Simu na Raisi Magu. Ni advantage kwa Magu na Diamond.Naona Magu anaapishwa November 2020 .
 
Kwahiyo Magu ana shobo na Diamond Platnumz? Kama hamuamini sikilizeni ule wimbo wa "Baba Lao". Sifa zote za mwanzo ni kwa Diamond, Magu anatajwa mwishoni kabisa.
 
Kwahiyo Magu ana shobo na Diamond Platnumz? Kama hamuamini sikilizeni ule wimbo wa "Baba Lao". Sifa zote za mwanzo ni kwa Diamond, Magu anatajwa mwishoni kabisa.
nilivyosikia ulemwimbo siku ya kwanza nikajua huyo aliyeimba kishaula tayari YAANI UMSIFIE MSUKUMA VILE MAWEEEE
 
Diamond na Harmonize wajichunge sana na siasa za CCM...
Siasa inaweza kukuporomosha kwa sekunde na jamaa wanakusepa unabakia mdomo wazi..wakumlaumu humwoni.
 
Zito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma


Tofa



Wewe ni lofa wa kisiasa kweli, sasa hapo Zitto anaingiaje???!!, kwani Zitto ndiye serikali anayekusanya kodi ili ajenge barabara???-- kazi ya kujenga barabara na maendeleo ya umma ni ya serikali kwa hilo serikali haipaswi kupongezwa kwakuwa inatekeleza wajibu wake kwa umma, ni lazima ijenge barabsra kwani pesa inayokusanya ni kodi zetu.na pesa hizo hazitoki mfukoni mwa mtu zinatoka hazina ambayo ndiyo mfuko wa nchi mfuko wa wananchi Raisi tumempa dhamana ya usimamizi wa huo mfuko.
 
Hayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho

Kumpigia siyo hoja,

hoja ni 100% ya kura atapata, Kampeni zimeanza? ,


Polepole alianzia Mbeya, Watanzania kwa USTAARABU wakakaa kimya kuona kama Vyombo husika vitatoa TAMKO LA KUKEMEA, IKAWA KIMYA NA TENA KIGOMA KIMYA,


SEIF ALIVYOSEMA NAELEKEA KUSHINDA, JECHA AKAFUTA UCHAGUZI,

TUME YA UCHAGUZI HUKU BARA (TANGANYIKA) IMEBARIKI HIZO KAMPENI?
 
Ukifuatilia sana utagundua kwamba bwana mkubwa JPM anahisi kutokubalika kwa watanzania walio wengi. Pia ni kama mtu anayeomba huruma ya wapiga kura
Unajiumiza moyo wako mwishowe utapata kisukari
Unaweza vipi kumtenganisha diamond na ccm?
Unategemea mwanakotide apige show pole pole aende?
Aliemuweka Magufuli hewani ni diamond,sio Rais,unataabika na nini?
Huu ni mwaka wa uchaguzi,usipokua muangalifu utakula mwereka kabla hata mwezi wa tatu,utalazwa kwa Bp
 
Back
Top Bottom