Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

Duuu wewe ndio unachekesha sana,hivi kwa ajili yako fupi huo ushindi alioahidi Diamond unadhani ni upi haswa wale waliopo pale diamond ndio msemaji wao,huo Diamond si kachawa kamoja kanakotafuta ridhiki kwa staili yake,tafakari usipende leta hoja za kibaguzi zosizo na mashiko
Kaskazini mnaumia sana, ila ndio hivyo mnaowaita washamba ndio wamekamata dola na ndio wengi, mngekuwa na akili kama mnavyodai basi mngekamata dola kama wakikuyu Kenya, mlie, mshambulie mitandaoni, m brag kwamba nyie kwenu migombani ni kama New York sawa, ila ndio dola tushaishika! Na hatuna mpango wa kuiachia, kama ulisoma Political Science unajua concept ya "Majority rule" the tyranny of number, na ndio hao mnaowaita washamba watawaongoza tu, even after 2025!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..hudhani kwamba Raisi hajiamini?

..kwanini ameanza kampeni mapema tena kwa kujikomba kwa Diamond?

..kwamba hawezi kutetea rekodi yake inabidi uwapumbaze wananchi kwa muziki wa Diamond?

..mimi nadhani Magufuli amegundua kwa sgr, stieglers, dreamliner, haziwezi kumpatia kura ukizingatia kuwa wananchi wamepigika kimaisha.
 
Akili za kisekondary.
 
Unakiri ushamba na kuthibitisha kuwa hamtaheshimu kura zetu Watanzania?Hanna mpango wa kuachia dola/madaraka?Hakika mnatia shaka(?Udikteta) au hiyo tafsiri yake nini?
Tunahitaji Katiba mpya ya Wananchi ili tuwe na Tume Huru ya Uchaguzi.Checks & Balancing Organs for our beloved Nation of Tanzania. Let's do it,Together we Can.
 
Nitamdharau sana Mondi ikiwa ataingia kwenye siasa na kugombea ubunge, nitawadharu zaidi watu wa Kigoma iwapo watampigia kura ta ushindi iwapo Mondi atawania ubunge.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo anafata upepo unakoelekea saizi yuko kwa magu kwasababu anajua magu ana power, lakini ikitokea upinzani wamechukua power ninauhakika atahama ccm

Diamond ni kama duu anaefata meza yenye bia nyingi
 
Ile picha ya msanii magu anasikiliza "mike" na simu itupieni hapa tuburudike.
 
..hudhani kwamba Raisi hajiamini?

..kwanini ameanza kampeni mapema tena kwa kujikomba kwa Diamond?

..kwamba hawezi kutetea rekodi yake inabidi uwapumbaze wananchi kwa muziki wa Diamond?

..mimi nadhani Magufuli amegundua kwa sgr, stieglers, dreamliner, haziwezi kumpatia kura ukizingatia kuwa wananchi wamepigika kimaisha.
Na hao wananchi hawana akili kutambua hilo tu kwamba Diamond anatumika kuwapumbaza ? Kama unalosema ni kweli? Basi hatuna taifa lenye watu wenye akili timamu kung'amua kwamba miradi ya Magufuli inawalostisha kimaisha!
 
Ama Kweli Ushamba Ni Mzigo Mzito Sana..

Washamba Washika Hatamu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio ntolee hivyo, kupokezana kama kijiti washamba Kwa washamba mpaka mnyoke, nyie mmejipendelea weweee, kina Mramba budget nzima ya miundombinu inaelekezwa mkoa mmoja mpaka bunge linaingilia kati, unafikili tumesahau? We are not stupid, ubaguzi mliuanzisha wenyewe , kazi mpeane nyie, sasa hivi mnalia? Nyie si mmeendelea? Haya endeleeni. Sisi tunajenga madaraja busisi, na SGR, after 20 years tutaona nani wameendelea zaidi,
 
Anasema mkitoa Vyama vyenu maana yake mmegundua hamumuwezi.Kazi IPO
Magufuli hahitaji ushawishi wa Diamondi au raia yoyote ili awe rais, bali anahitaji tume ya uchaguzi inayotii matakwa yake, na vyombo vya dola vilivyo tayari kufanya lolote ili abaki madarakani. Hao akina Diamondi wanatumika tu kuhadaa umma kwamba jamaa anakubalika, lakini ushindi wake halisi hautokani na ushawishi wake kwa umma bali nguvu ya madaraka yake. Uzuri ni kuwa wananchi wengi tunajitambua, hakuna tume huru vya uchaguzi hatutashiriki kupiga kura. Acha awe rais lakini sio kwa ridhaa ya wananchi bali atakuwa kama serikali ya kijeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli hana shida yanluhakikishiwa ushundi

Kwa sababu, tume ya uchaguzi ni ya kwake.

No free elections in 🇹🇿 ndio maana magu anafanya mdudu he doesn't care
Haogopi box la kura
 
Hii imetokea usiku wa kuamkia leo ,mkesha wa mwaka mpya wa 2020 baada ya mh rais kimpigia simu akiwa jukwaani na kumpongeza diamond Amiga kishia ushindi wa kishindo 2020 kwenye uchaguzi mkuu October

Hii inaitwa double target kwa wale waliopitia courses za strategies kama mimi from chato to ujiji eneo lenye wapiga kura lukuki hapa Galilaya

USSRView attachment 1309640

Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo ,mwananchi
Uzuri Diamond kafichuwa makucha yake mapema. kwetu sisi kilichobaki ni kumgomea tu!
 
Na hao wananchi hawana akili kutambua hilo tu kwamba Diamond anatumika kuwapumbaza ? Kama unalosema ni kweli? Basi hatuna taifa lenye watu wenye akili timamu kung'amua kwamba miradi ya Magufuli inawalostisha kimaisha!

..we will soon find out kama wananchi wana uelewa kuhusu nguvu ya kura zao au la.

..kwa kweli a lot needs to be done kupunguza umasiki unaowakabila walioko vijijini na ukosefu wa ajira kwa walioko mijini.

..kuhusu miradi ya Magufuli, naomba niseme tu serikali inapaswa kuchukua hatua kwani VYUMA VIMEKAZA. Magufuli asisubiri tuwe kama Ethiopia ambao wana reli, ndege, mradi wa umeme, lakini vijana kwa maelfu wanakimbia nchi yao kwa kukosa AJIRA.
 
Huyo Diamond inawezekana kagundua umaarufu wake unaisha sasa katafuta sehemu ya kuegemea ili lawama ziende huko.

Na inawezekana anatafuta mialiko ya Ikulu tena, tangu Kikwete aondoke hajatia mguu ikulu.
 
Kampeni zishaanza ? Vipi Roma naye akisimama akaanza Kampeni kama za Domo , si ataishia Keko kesi ya utakatishaji nguo.
 
Back
Top Bottom